The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Acha uongo na uzushi,Hilo halitakaa litokeeKUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elim kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Dec 2022.
Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.
Hii inaonyesha tunakoelekea serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.
Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.
Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .
Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.