FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 907
- 630
Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini?
Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki mbili na zaidi sasa, watu tuna matatizo.
Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki mbili na zaidi sasa, watu tuna matatizo.