CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,782
Sayansi na teknolojia CHIEF MKWAWA
HahahahaNgojs kwanza nisome..ukute nimeula
Mheshimiwa spikeeeeeeeer...! Tunakuomba uende ukatibiwe nje hata mafua tu,uambatane na jopo la wasaidizi wako. Check up yako itagharimu tubilioni tuchache. Achilia mbali wapige kelele zao tu wanoko wa nchi hii ya JF,we nenda tu kachekiwe. Gharama zote zitagharimiwa na serikali yako tukufu ya nchi hii ya Jf
Relax...u-great thinker siyo masihara!!! Kichwa kinachemka ka simu za Samsung ukiwa serious sanaJf is no longer the home of great thinkers
🤓🤓maisha ya chitchat bwana!.Hahahaha
Naungana na wewe kwenye uasi kwenye serikali ya Jf. Mimi nitakuwa LORAA NKUNDA wako.(lile njemba lenye mishipa minene,nafikiri limewahi kunywa damu ya mtu lile njemba)Huu nao ni udikteta kutuchagulia viongozi kibabe bila kupiga kura.
Napinga hili, rasmi nitakuwa muasi.
Kweli hutaki urais wa "US" !? Hii mpya Ha ha h aaaa!Sijautaka na hivyo siwezi kuukosa.
Nina kaya yangu na inanitosha tayari.
Stress free forum hahaha🤓🤓maisha ya chitchat bwana!.
Hivi jukwaa la "Kapuku" lilihamishiwa wapi!?🤓🤓maisha ya chitchat bwana!.
Ahahahah..Hujakosea mkuu.Huyu ulomtaja kama sio musiba basi atakua Pole poleMimi nahisi nitapewa kazi ya waziri ya nchi anayehusika na vijana kazi na Bunge. Kile kimama kinokoooooo!!!!!
Kawe Alumni ndiye Musiba wa Jf.
Hivi jukwaa la "Kapuku" lilihamishiwa wapi!?
===
Maana waliingia JF kwa mkwara wa hatari.
Ila na wewe si wa mchezo mchezo...Upo hapa toka 2018 August lakini una post 20,000. Hongera sana hii speed ya hatari.Siko interested sana..hata sijui..!