Tetesi: Serikali kulipa madeni yote ya walimu mwezi huu

Hela ya kusimamia Necta kidato cha nne mwaka jana mpaka leo hawajalipa wameishia kutoa maneno mengi bila utekelezaji
 
Kwa serikali hii hizi zitabaki tetesi tu hadi tunazeeka...hii nchi kiongozi wakuwajali walimu hajapatikana na hatakuja kupatikana siku za karibuni...adui mkubwa wa walimu ni walimu wenzao
Nilitegmea comment kama hizi lol. tuache kucremisha mpaka kwenye uongozi.
 
Hadithi hii kila rais anayeingia ofisini huikuta juu ya meza yake na naamini akiisha isoma hutoa ahadi za kuwahadaa walimu. Kwa kuwa ni tetesi wacha tusubiri kama tulivyozoeshwa.
 
Hadithi hii kila rais anayeingia ofisini huikuta juu ya meza yake na naamini akiisha isoma hutoa ahadi za kuwahadaa walimu. Kwa kuwa ni tetesi wacha tusubiri kama tulivyozoeshwa.
Deni la walimu sio kubwa la kutisha ila basi tu viongozi na wanaohusika hawako serious.

Kwa jinsi wakurugenzi wanavyofanya kazi usiku na mchana kufuatia agizo la rais kuondoa mishahara hewa kuna uwezekano mkubwa sana pesa hizo kulipwa.
 
Hivi fedha za madeni ya walimu si zilikuwa ndani ya zile ambazo zimezuiwa na Rais majuzi kuwa mpaka uhakiki mpya ufanyike? Au mie ndio sijaelewa? Maana kama zimo mule basi sio za kulipwa leo ni mpaka miezi kadhaa ya uhakiki.
The same old story
 
Watu hadi walishahama mikoa waliyokua wanadai....madeni yana zaidi ya miaka 7 sidhani ata km kumbukumbu bado zipo sawa
 
Kwa serikali hii hizi zitabaki tetesi tu hadi tunazeeka...hii nchi kiongozi wakuwajali walimu hajapatikana na hatakuja kupatikana siku za karibuni...adui mkubwa wa walimu ni walimu wenzao

Zitakazolipwa uwe na ujasiri wa kuja hapa na kukiri kauli yako hiyo ilitolewa katika upofu wa ukweli
 
Zitakazolipwa uwe na ujasiri wa kuja hapa na kukiri kauli yako hiyo ilitolewa katika upofu wa ukweli
Upofu wa ukweli...raisi gani ambaye hajawai kutoa ahadi kama hizi za kushughulikia madeni ya walimu....alafu muwalipe kwanza wale ambao hawajalipwa waliosimamia mtihani wa taifa form four mwaka jana...
 
Back
Top Bottom