Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,226
- 7,999
Ha ha ha ha si utachanika mnduku wako mwenyewe!!!
!
!!
Anko au ninye fenesi kabisa
Ha ha ha ha si utachanika mnduku wako mwenyewe!!!
Nakubaliana na wewe lakini cha msingi ni hili la madeni liishe kwanza, baada ya hapo marekebisho ya mshahara yatafuata.Madeni ya walimu hayaishi na hayatakaa yaishe. Tatizo la walimu si kulipwa hivyo vipesa mbuzi vya malimbikizo ya mshahara. Tatizo la walimu ni MISHAHARA DUNI na PAYE kubwa. Kama Magufuli atatatua tatizo hilo, walimu watakuwa na furaha. Na kama atafanya usanii ule kama wa Mkwere, walimu nao wataendeleza usanii kwa usanii kwa watoto wetu.
Kwa serikali hii hizi zitabaki tetesi tu hadi tunazeeka...hii nchi kiongozi wakuwajali walimu hajapatikana na hatakuja kupatikana siku za karibuni...adui mkubwa wa walimu ni walimu wenzao
waalimu na masheikh ndio mtaji mkubwa wa ccmUsha wahi ???
Mkuu katika uongozi mbaya ambao haujawai tokea katika historia ya tanzania ni huu hapa...mark my words mda c mrefu tutaanza kushuhudia mambo mengi sanaMbona umekata tamaa mapema? Huyu first lady mwalimu mwenzenu naye ni KAZI TU! Mpeni muda kwani ana miezi minne tu ikulu.
inawezrkana! nipo wizara ya mambo ya ndani tumelipwa ya toka 2014