Serikali imeshindwa kuendesha NHIF

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,149
2,808
Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general".

Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is being mishandled.
Tatizo moja nimeona NHIF ni kwamba mtu anaweza kuondoka na dawa nyingi (far more than is needed for the cure).

Kwa hiyo yupo mtu yeyote anayeweza kutueleza what is all this about value system?
 
Kashindwa kila kitu, yaani kashindwa hata kuteua tu !
Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila tunahitaji kuondokana na mawazo ya reli za mkoloni, Huu ni muda wa kuwaza kisasa, kuna reli zinahitaji sana kujengwa kujenga uchumi na kupunguza umaskini , mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!Hata ukistaafu huna kitu, ukiangalia kikokotoo unazirai!!!!!

Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is what we need hapa bongo. This is how European economy is built and flourish.
 
Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila kuna reli zinahitaji kujengwa mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!

Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is how European economy is built and flourish.
Upo sahihi mkuu Ila kwa muda aliobaki nao sidhani kama anaweza kuiunganisha mikoa kwa reli kama usemavyo, labda apewe miaka 5 mingine, lakini kwa Hali hii ya high cost of living, Kikokotoo na kutochukua hatua pale anapotakiwa kuchukua hatua juu ya wateule wake wanapokosea na upigaji wote huu unaoendelea wananchi bado wanaimani nae?
 
Muhimu ni kuweka kwenye ilani ya Chama ajenda ya kutandaza reli nchi nzima ili kwenye miaka yake mitano ijayo aanze kuzijenga kufungua nchi, kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya serikali , na Marais watakaomfuatia Bimkubwa nao wazijenge maana duniani tunapita tu hata wakiondoka wawe walifanya kitu, wiki hii wazee kibao wamehama ulimwengu huu, swali ni je tunawakumbuka kwa lipi haswa?
 
Mama amekuta shirika liko ICU, na kulifufua si mchezo, Tanesco cha mtoto.

Sasa kama CDM wamejenga ofisi yao kwa miaka 30, sasa hivi wanagombania rushwa za uchaguzi, ndio uwakabidhi matrilioni ya nchi!? Zimwi likujualo!!!
Shirika gan lilikua ICU?
 
Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila tunahitaji kuondokana na mawazo ya reli za mkoloni, Huu ni muda wa kuwaza kisasa, kuna reli zinahitaji sana kujengwa kujenga uchumi na kupunguza umaskini , mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!Hata ukistaafu huna kitu, ukiangalia kikokotoo unazirai!!!!!

Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is what we need hapa bongo. This is how European economy is built and flourish.
Sgr na Bwawa!!? Unamzungumzia nani? Au ulipotezwa na takwimu za kupika za kina Januari ili kupoteza Legacy ya Jiwe?
 
Upo sahihi mkuu Ila kwa muda aliobaki nao sidhani kama anaweza kuiunganisha mikoa kwa reli kama usemavyo, labda apewe miaka 5 mingine, lakini kwa Hali hii ya high cost of living, Kikokotoo na kutochukua hatua pale anapotakiwa kuchukua hatua juu ya wateule wake wanapokosea na upigaji wote huu unaoendelea wananchi bado wanaimani nae?
Hatua hawezi kuwachukulia wanaoiba!! Wanaibà kwa niaba yake
 
Mimi Kwa Mtazamo wangu mfumo mzima urekebishwe hasa kwenye eneo la usimamizi na ukaguzi.

Karibuni Kwa kutumia bima nyingine, nilikwenda Hospitali kutibiwa sikio. Gharama zikawa 99,000.

Nikajiuliza kumuona daktari, kusafishwa sikio ndiyo hela yote hiyo? Namaanisha inawezekana pia watoa huduma hupaisha gharama zao isivyo kawaida.
 
Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila tunahitaji kuondokana na mawazo ya reli za mkoloni, Huu ni muda wa kuwaza kisasa, kuna reli zinahitaji sana kujengwa kujenga uchumi na kupunguza umaskini , mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!Hata ukistaafu huna kitu, ukiangalia kikokotoo unazirai!!!!!

Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is what we need hapa bongo. This is how European economy is built and flourish.
Unataka wajenge reli wakati wao ndio wanamiliki maroli ya mizigo na mabasi ya abiria. Hata hii reli itawashinda wataweka watu watakaohujumu miundo mbinu na kuna uwezekano hata nauli za treni zitakuwa kubwa kuliko uhalisia ilimradi tu watu waamue kuendelea na mabasi na malori.
 
Back
Top Bottom