SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

Tanzania Tuitakayo competition threads

G5bajuta

New Member
May 23, 2024
2
0
Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao.

Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani inasuasua na kuleta shida hivyo hiyo huduma ibareshwe na kuzuia hitilafu zinazojitokeza.
 
serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani inasuasua na kuleta shida hivyo hiyo huduma ibareshwe na kuzuia hitilafu zinazojitokeza.
Hatutaki kusikia kila saa 'ooooh, ati mtandao unazingua, hatutaki🙅‍♂️🙅‍♂️'
 
Back
Top Bottom