Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,841
Mungu mkubwa kwa hiyo nikiwa na Mwekundu nakunywa 10?.hongeleni aliyebuni aishi milele
Unakunywaje 10 wakati moja ni buku 2...?.....au unamaanisha seneta.......
Mungu mkubwa kwa hiyo nikiwa na Mwekundu nakunywa 10?.hongeleni aliyebuni aishi milele
Ohoooo!!!Hayo ukiyapiga.... Mpaka jasho lako linanukia hayo madude.
Mnamshukuru mungu kwan ndo kaleta hayo mapombe? msimshirikishe mungu kwa mambo ya kishetan, mnapaswa mumshukuru huyo lusfa wenu.
pole kaka kama unadhani Yesu Alikunywa Serengeti basi ujue Jehanam inakusubiri.We ndio Tukuulize Mungu Gani... Yesu Mwenyewe alikuwa anapiga (Divai). Sasa Kama Aliruhusu Mwanae Anywe.. sijui kitabu gani unazungumzia
Kitabu ninachotumia mimi hakijakataza kunywa, labda kulewa Maana maandiko mengine huzungumzia kileo kwa kuhalalisha matumizi yake. Mhubiri 9:7 inaamuru, “ kunywa kileo na moyo mkunjufu.”Mungu Yupi Mkuu wangu? Maana Pombe Siyo Nzuri na Mungu Mwenyewe Amepiga Marufuku kwenye vitabu Vyote vya Dini!
pole kaka kama unadhani Yesu Alikunywa Serengeti basi ujue Jehanam inakusubiri.
Na Yesu Mwenyewe Atakuzibua Mbata siku Hiyo utakayo kutana nae na kujitetea kwake kwamba Mbona na wewe Ulikuwa unagonga serengeti?
Atakujibu hivi, Mwapotea Kwasababu hamyajui Maandiko.
Piga K vant mkuu'Huku kwangu kili kubwa ni elfu2, Serengeti kubwa 2500, hizo ndogo sijajua.
Mungu ni mkubwa asee, nikikosa kili nafakamia safari ndogo kwa 1500.
Maisha marefu kwa wazalishaji.
Kwahyo pombe ni zao la Lusifa mkuu? Mi kama siamini sana hivyo, siamini kama Nabii Nuhu alikuwa akishirikiana na Lusifa.Mnamshukuru mungu kwan ndo kaleta hayo mapombe? msimshirikishe mungu kwa mambo ya kishetan, mnapaswa mumshukuru huyo lusfa wenu.
Anachosahau mkuu watu wanamtaja wakiwa kwenye 6×6... sembuse kwenye pombe. (Pombe ni moja ya kitu kilichowezeshwa na Mungu... asingetaka hata huu msamiati usingekuwepo, ndio maana kuna watu wakasema tumshukuru Mungu kwa vyote sidhani kama waliexclude na vile vinavyodaiwa ni vibaya)Who are you to tell people when they should/shouldn't involve God in their personal matters?
Mungu hajapiga marufuku bali ni binadamu wazushi, kila alichokiumba ni chemaMungu Yupi Mkuu wangu? Maana Pombe Siyo Nzuri na Mungu Mwenyewe Amepiga Marufuku kwenye vitabu Vyote vya Dini!
Unahakika au unakremisha Bible!? Yesu mwenyewe alitengeneza na kunywa nini?Mungu Yupi Mkuu wangu? Maana Pombe Siyo Nzuri na Mungu Mwenyewe Amepiga Marufuku kwenye vitabu Vyote vya Dini!