Serengeti chupa kubwa ni TZS 2,000, Mungu atupe nini?

Nitahamia huku maana mimi huwa napiga wine na pombe zingine toka urusi chupa moja ya bei ya chini 30,000/=
Mkuu hiyo bongo au abroad, au bongo ila club kubwa au hotel kubwa? Chupa ya wine ya tsh30,000/- ya ujazo upi kwa hizi Liquor shop na bar za kawaida? Au pombe gani ya kirusi ya ujazo upi? Sikatai hiyo bei ila tujuzane(elewasha) vizuri mkuu.
 
Nafurahi kusoma habari kama hii inayompa mtufuraha, na sio zile watu kutokuacha kulalamika.
 
Kwenye katiba ya ccm
Mtu yeyote anaye fikiri kuwa Biblia imekataza kileo soma hapo chini:-

Methali 31:6. Mpeni kileo mtu yeyote anayekaribia kuangamia na kuwapa divai watu wenye uchungu katika nafsi.

Mhubiri 9:7. Nenda, ukale chakula chako kwa kushangilia na kunywa divai yako kwa moyo mchangamfu, kwa sababu tayari Mungu wa kweli amependezwa na kazi zako.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Maisha yenyewe mafupi sana hayaaaa.
Juzi kati nilienda Mwanza sasa kuna bar nikawa nimeingia mitaa ya town.

Nilishangaa kuona meza zote zimejaa chupa za BALIMI.
yaah mwanza ni BALIMI TU.tunasema KANDA YANGU BIA YANGU
 
Back
Top Bottom