zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,923
yah, ila kesi kama za babu seya na yule mangi pale moshi ni kazi ya nani?
Huyo "mangi: simjui wala sijui kesi yake, fafanua.
Babu Seya, hakimu alikuwa Kikwete? mikanda ya video akifanya ngono na watoto wa shule aliitengeneza Kikwete? na wale watoto wote waliokuwa wanakwenda kutoa ushahidi walitayarishwa na Kikwete?
Isome hapa hukumu ya Babuseya iliwekwa humu na wewe ukiwa tayari umo JF, ni nini usichokielewa?: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/52872-hukumu-ya-babu-seya-hii-hapa.html
Usiongee kama punguani, kuwa mkweli.