Masikrodinga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 226
- 68
Wagombea wengi sana wanaotumia Mbwembwe kuninadi mimi huwa siwakubali! Ushabiki, Upumbavu na ulimbukeni wa Watanzania ulimuwezesha Jamal kupata Fursa ya kuwa Rais wa TFF. Tulimkataa Athumani Nyamlani kwa kuwa tu anaungwa mkono na Chilla Tenga, Leodger. Shobo zetu kwa wenye pesa zinatugharimu sana. Wafanyabiashara hawafai kuwa Viongozi. Rejea kadhia ya Wanamtandao 2005-2015
Tatizo Nyamlani nae aliomba kura ki-uyanga sana pamoja na kuwa wote Malinzi na Nyamlani ni Yanga wa kutupwa lakini Malinzi alikuwa mjanja kujipenyeza na huku upande wa pili alivyojumlisha na upande ule kidogo akashinda uchaguzi.