Samia, CCM na Polisi someni alama za nyakati, Lissu ni mjumbe tu, ni kivuli kile!

Nikiona tu mtu anatumia nguvu kuuubwa eti "lissu ni akili kubwa" basi namdharau sana na usomaji wa Uzi unaishia hapo. Serikali naomba iingilie kati na kuwapima marinda haraka hawa wanaume wote wanaotamka hivi. Wanatuharibia watoto.
Kwa sababu huna akili,mumeo kapata hasara kubwa kuoa tutusa kama wewe unaishia kumzalia watoto vilaza tu.
 
Mheshimu mjumbe mwema ili upate heshima njema, mtendee wema mjumbe yoyote ili umjue vizuri yule aliyemtuma na msimchukie mjumbe kisa ujumbe wake haukupenda. Mfanye mjumbe kuwa rafiki yako na kamwe usikubali mjumbe kuwa adui yako ikiwa unataka ushinde vita. Hii ni hekima ya kale sana na haijawahi kupoteza maana.

Mjumbe ni mjumbe tu, hana cha kupata au kupoteza moja kwa moja, anachokifanya ni kufikisha ujumbe tu. Kwa Tanzania hii na dunia hii ilivyokaa kwa sasa, Lissu ni mjumbe muhimu mnoo kwa taifa la Tanzania. Kinachompa jeuri na ujasiri ni ujumbe alioubeba na wale waliomtuma. Lissu ana ujumbe!

Chonde chonde, Samia, CCM na Polisi, someni alama za nyakati. Zama zimebadilika mnoo. Nendeni kajifunzeni kwa Nyerere, nini kilimkosa na nini kilimpata alipokuwa akipambana na wajumbe badala ya kupambana na ujumbe. Aliposoma alama za nyakati akaamua haraka sana kung'atuka. Nyerere hakuwa mjinga, aliona mbali sana.

Muulizeni Mzee Mwinyi ni kwa vipi alikubali mabadiliko ya sera za kiuchumi (ubepari) na kisiasa (vyama vingi). Alisoma kwa haraka sana alama za nyakati.

Muulizeni Kikwete, ilikuwaje mapema kabisa 2011 akakubali michakato ya katiba mpya ianze. Alisoma alama za nyakati.

Magufuli alichelewa sana kusoma alama za nyakati, akajikuta anapambana na kivuli tu badala ya kitu halisi, akatumia nguvu kubwa mnoo kupambana na mjumbe badala ya kupambana na ujumbe au kupambana na wale waliomtuma mjumbe.

Mbowe naye alichelewa mnoo kusoma alama za nyakati, huenda chawa waliomzungumka na ahadi ya kupata nusu mkate ilimfanya kipofu, akajikuta yuko nyuma ya muda, kichwa kichwa akaingia kupambana na Lissu, kilichotokea ni kushindwa na kuua Legacy yake yote ya siasa za mageuzi hapa Tanzania aliyoitengeneza kwa zaidi ya miaka 20.

Kushindana na mjumbe inahitaji akili kubwa zaidi kuliko nguvu. Lissu ni akili kubwa sana, ana kipawa na karma yake ya kipekee mnoo katika kufanya harakati zake, ukiona anapambania jambo sasa kwa juhudi kubwa basi wewe jua kwa uhakika alishali 'plot' kitambo zaidi (huenda miaka isiyopungua mitatu nyuma). Na kwa sasa, bila shaka yoyote, watu wenye akili kubwa wameamua na wataamua kuwekeza zaidi kwake ili ujumbe ufike.

Watu wamechoka na chaguzi hewa, sio wapinzani tu, hata wanaCCM, wanausalama, viongozi wa dini, wafanyabiashara, wananchi wa kawaida, wafadhili na wawekezaji hawafurahishwi na hizi chaguzi zetu hewa, zinawaumiza wote. Panya yoyote mwenye ujasiri wa kujitolea kwenda kumfunga paka kengele akiibuka automatically ataungwa mkono tu na panya wote, hata kama ni kwa siri.

Heri nusu shari.....
Mkataa pema.....
Ajidhaniae amesimama.....
Hasira za mkizi......
Lisemwalo lipo........
KIKULACHO KINGUONI MWAKO.
CCM HAWANA TOFAUTI NA MAFIRAUNI WA MISRI
 
Chururu si ndondondo , Jua lile literemke mama aiya iya iya mama, Jua lile literemke mama aiya iya iya mama.
 
Mtaje aliemtuma , lissu amepigania taifa hili bado hupo mbumbu , acha post ujinga , sema moja kwa moja kwamba lissu ametumwa na sauti ya ulimwengu ambae ni Mungu mwenyewe , unazunguka nini sasa ,
Hata mimi Nimeshangaa sana jamaa kujizungushazungusha na kushindwa kumtaja mungu kuwa ndio aliemtuma lissu
 
Labda watasikia japo too late sana tangu 2022 !Alipokataa kuanzisha mchakato wa katiba mpya ambao waliagiza wale jamaa!Sasa wamekuja wale jamaa wamekuja na hii no reform no election kama desert mission yao dhidi ya mkataa maelekezo!!

Bado nakumbuka maneno haya"original plan,in and out, desert mission, operation PJLK !!nadhani ndio mida ya utekelezaji wake umefika sasa!!sisi makada was chama tawala tunaangalia kuona nani ataibuka kidedea coz baadhi yetu tumekaza mafuvu kusikia ya msingi!!
 
Nilishasema sana ; hakuna mtu SMART pale CCM , yamelimbikizana majinga na majizi. They can’t see anything but kukumbatia zidumu fikra za mwenyekiti.

Ukiangalia Movie ya Six Tripple Eight ….acceptance ya Black American kwenye Jeshi la USA was totally devastating….. legacy nyingi za mtu mweusi zikawa zinafunikwa …. By that time during the world war 2 …. Black wakawa wanapambana sana kusoma…. Madarasani na kwenye top management wakaanza kunotice : wazungu wakastuka wakaona hii generation itakuja kujitambua very soon na along the way itatusumbua snaa. Chap black community kuanzia jeshini ikaanza kupata heshima hata enzi ya JFK one of his philosophy ni watu wote ni sawa …. Hii inaitwa Intelligence and future determination

As for CCM , inaongozwa na watu ambao hawakuwa na proper education back then , hata Samia did not go into proper education … ukiona mtu ana vi certificate vingi… na vidiploma diploma kuna namna hakupita kwenye proper education system ambayo ni la saba, form 4 then 6 then chuo unless umesoma Cambridge au British Curriculum and international schools

CCM can’t see kuwa hizi nyakati vijana wanaelimika… we have to make some reforms otherwise ni sawa na kukimbia kivuli chako. Ukiwa na akili… unaweza kufanya reforms na still ukajiwekea misingi ya kushinda

Shida ya CCM watu wanapewa post kwa UCHAWA na sio intelligence .

Patakuja kuchimbika snaa … CCM sio smart .. msitegemee busara za JK … JK is more than 70 … huo ni umri mkubwa sana kwa binadamu…. Kuna moment itafika hatokuwa na impact au hatokuwa duniani kabisa ….. je vijana mtakuwa mmeachiwa nchi ya aina wakati huo wanaozea kaburini.

Samia is more than 60 years old ; hao wote ni wazee tayari… 5 to 10 years hawatokuwa na impact yoyote they will be too old

Fanyeni MABADILIKO …. Mabadiliko sio kwa chadema … hata hivyo vyama vya kipuuzi kama ACT NA CCM … lakini pia ni kwa Ustawi wa nchi

Uchawa sio kazi rasmi, vijana SOMENI… nendani shule
Kuita ACT Chama Cha kipuuzi ni ishara kuu ya kutoelimika, kukosa akili na ubaguzi uliowajaa wafuasi wa chadema na viongozi wao. Hili lichama likishinda naapa kwa Mungu vyama vingine havitokuwa na nafasi. Mungu aendelee kuwalaani washenzi hawa!!
 
Watu wamechoka na chaguzi hewa, sio wapinzani tu, hata wanaCCM, wanausalama, viongozi wa dini, wafanyabiashara, wananchi wa kawaida, wafadhili na wawekezaji hawafurahishwi na hizi chaguzi zetu hewa, zinawaumiza wote. Panya yoyote mwenye ujasiri wa kujitolea kwenda kumfunga paka kengele akiibuka automatically ataungwa mkono tu na panya wote, hata kama ni kwa siri.

Heri nusu shari.....
Mkataa pema.....
Ajidhaniae amesimama.....
Hasira za mkizi......
Lisemwalo lipo........
KIKULACHO KINGUONI MWAKO.📌🔨
 
Nilishasema sana ; hakuna mtu SMART pale CCM , yamelimbikizana majinga na majizi. They can’t see anything but kukumbatia zidumu fikra za mwenyekiti.

Ukiangalia Movie ya Six Tripple Eight ….acceptance ya Black American kwenye Jeshi la USA was totally devastating….. legacy nyingi za mtu mweusi zikawa zinafunikwa …. By that time during the world war 2 …. Black wakawa wanapambana sana kusoma…. Madarasani na kwenye top management wakaanza kunotice : wazungu wakastuka wakaona hii generation itakuja kujitambua very soon na along the way itatusumbua snaa. Chap black community kuanzia jeshini ikaanza kupata heshima hata enzi ya JFK one of his philosophy ni watu wote ni sawa …. Hii inaitwa Intelligence and future determination

As for CCM , inaongozwa na watu ambao hawakuwa na proper education back then , hata Samia did not go into proper education … ukiona mtu ana vi certificate vingi… na vidiploma diploma kuna namna hakupita kwenye proper education system ambayo ni la saba, form 4 then 6 then chuo unless umesoma Cambridge au British Curriculum and international schools

CCM can’t see kuwa hizi nyakati vijana wanaelimika… we have to make some reforms otherwise ni sawa na kukimbia kivuli chako. Ukiwa na akili… unaweza kufanya reforms na still ukajiwekea misingi ya kushinda

Shida ya CCM watu wanapewa post kwa UCHAWA na sio intelligence .

Patakuja kuchimbika snaa … CCM sio smart .. msitegemee busara za JK … JK is more than 70 … huo ni umri mkubwa sana kwa binadamu…. Kuna moment itafika hatokuwa na impact au hatokuwa duniani kabisa ….. je vijana mtakuwa mmeachiwa nchi ya aina wakati huo wanaozea kaburini.

Samia is more than 60 years old ; hao wote ni wazee tayari… 5 to 10 years hawatokuwa na impact yoyote they will be too old

Fanyeni MABADILIKO …. Mabadiliko sio kwa chadema … hata hivyo vyama vya kipuuzi kama ACT NA CCM … lakini pia ni kwa Ustawi wa nchi

Uchawa sio kazi rasmi, vijana SOMENI… nendani shule
Imagine Lissu toka mwaka 1990 anapambana na mfumo na watu wanamcheki tu hawachukui proper way leo baada ya miaka 35 ndio wanaona watamnyamazisha!!

Mwaka huu kutachimbika watu wamechoka na uhuni
 
Mheshimu mjumbe mwema ili upate heshima njema, mtendee wema mjumbe yoyote ili umjue vizuri yule aliyemtuma na msimchukie mjumbe kisa ujumbe wake haukupenda. Mfanye mjumbe kuwa rafiki yako na kamwe usikubali mjumbe kuwa adui yako ikiwa unataka ushinde vita. Hii ni hekima ya kale sana na haijawahi kupoteza maana.

Mjumbe ni mjumbe tu, hana cha kupata au kupoteza moja kwa moja, anachokifanya ni kufikisha ujumbe tu. Kwa Tanzania hii na dunia hii ilivyokaa kwa sasa, Lissu ni mjumbe muhimu mnoo kwa taifa la Tanzania. Kinachompa jeuri na ujasiri ni ujumbe alioubeba na wale waliomtuma. Lissu ana ujumbe!

Chonde chonde, Samia, CCM na Polisi, someni alama za nyakati. Zama zimebadilika mnoo. Nendeni kajifunzeni kwa Nyerere, nini kilimkosa na nini kilimpata alipokuwa akipambana na wajumbe badala ya kupambana na ujumbe. Aliposoma alama za nyakati akaamua haraka sana kung'atuka. Nyerere hakuwa mjinga, aliona mbali sana.

Muulizeni Mzee Mwinyi ni kwa vipi alikubali mabadiliko ya sera za kiuchumi (ubepari) na kisiasa (vyama vingi). Alisoma kwa haraka sana alama za nyakati.

Muulizeni Kikwete, ilikuwaje mapema kabisa 2011 akakubali michakato ya katiba mpya ianze. Alisoma alama za nyakati.

Magufuli alichelewa sana kusoma alama za nyakati, akajikuta anapambana na kivuli tu badala ya kitu halisi, akatumia nguvu kubwa mnoo kupambana na mjumbe badala ya kupambana na ujumbe au kupambana na wale waliomtuma mjumbe.

Mbowe naye alichelewa mnoo kusoma alama za nyakati, huenda chawa waliomzungumka na ahadi ya kupata nusu mkate ilimfanya kipofu, akajikuta yuko nyuma ya muda, kichwa kichwa akaingia kupambana na Lissu, kilichotokea ni kushindwa na kuua Legacy yake yote ya siasa za mageuzi hapa Tanzania aliyoitengeneza kwa zaidi ya miaka 20.

Kushindana na mjumbe inahitaji akili kubwa zaidi kuliko nguvu. Lissu ni akili kubwa sana, ana kipawa na karma yake ya kipekee mnoo katika kufanya harakati zake, ukiona anapambania jambo sasa kwa juhudi kubwa basi wewe jua kwa uhakika alishali 'plot' kitambo zaidi (huenda miaka isiyopungua mitatu nyuma). Na kwa sasa, bila shaka yoyote, watu wenye akili kubwa wameamua na wataamua kuwekeza zaidi kwake ili ujumbe ufike.

Watu wamechoka na chaguzi hewa, sio wapinzani tu, hata wanaCCM, wanausalama, viongozi wa dini, wafanyabiashara, wananchi wa kawaida, wafadhili na wawekezaji hawafurahishwi na hizi chaguzi zetu hewa, zinawaumiza wote. Panya yoyote mwenye ujasiri wa kujitolea kwenda kumfunga paka kengele akiibuka automatically ataungwa mkono tu na panya wote, hata kama ni kwa siri.

Heri nusu shari.....
Mkataa pema.....
Ajidhaniae amesimama.....
Hasira za mkizi......
Lisemwalo lipo........
KIKULACHO KINGUONI MWAKO.
Kwa hawa keybord worrior? Wakenya huwa hawa type social media kumuonya ruto huwa wanafanya kweli, tupunguze ujinga,
 
Nikiona tu mtu anatumia nguvu kuuubwa eti "lissu ni akili kubwa" basi namdharau sana na usomaji wa Uzi unaishia hapo. Serikali naomba iingilie kati na kuwapima marinda haraka hawa wanaume wote wanaotamka hivi. Wanatuharibia watoto.
CCM ndio namba kwa kuwaharibu watoto ndio watu msio na akili katika Jamii.
 
Mheshimu mjumbe mwema ili upate heshima njema, mtendee wema mjumbe yoyote ili umjue vizuri yule aliyemtuma na msimchukie mjumbe kisa ujumbe wake haukupenda. Mfanye mjumbe kuwa rafiki yako na kamwe usikubali mjumbe kuwa adui yako ikiwa unataka ushinde vita. Hii ni hekima ya kale sana na haijawahi kupoteza maana.

Mjumbe ni mjumbe tu, hana cha kupata au kupoteza moja kwa moja, anachokifanya ni kufikisha ujumbe tu. Kwa Tanzania hii na dunia hii ilivyokaa kwa sasa, Lissu ni mjumbe muhimu mnoo kwa taifa la Tanzania. Kinachompa jeuri na ujasiri ni ujumbe alioubeba na wale waliomtuma. Lissu ana ujumbe!

Chonde chonde, Samia, CCM na Polisi, someni alama za nyakati. Zama zimebadilika mnoo. Nendeni kajifunzeni kwa Nyerere, nini kilimkosa na nini kilimpata alipokuwa akipambana na wajumbe badala ya kupambana na ujumbe. Aliposoma alama za nyakati akaamua haraka sana kung'atuka. Nyerere hakuwa mjinga, aliona mbali sana.

Muulizeni Mzee Mwinyi ni kwa vipi alikubali mabadiliko ya sera za kiuchumi (ubepari) na kisiasa (vyama vingi). Alisoma kwa haraka sana alama za nyakati.

Muulizeni Kikwete, ilikuwaje mapema kabisa 2011 akakubali michakato ya katiba mpya ianze. Alisoma alama za nyakati.

Magufuli alichelewa sana kusoma alama za nyakati, akajikuta anapambana na kivuli tu badala ya kitu halisi, akatumia nguvu kubwa mnoo kupambana na mjumbe badala ya kupambana na ujumbe au kupambana na wale waliomtuma mjumbe.

Mbowe naye alichelewa mnoo kusoma alama za nyakati, huenda chawa waliomzungumka na ahadi ya kupata nusu mkate ilimfanya kipofu, akajikuta yuko nyuma ya muda, kichwa kichwa akaingia kupambana na Lissu, kilichotokea ni kushindwa na kuua Legacy yake yote ya siasa za mageuzi hapa Tanzania aliyoitengeneza kwa zaidi ya miaka 20.

Kushindana na mjumbe inahitaji akili kubwa zaidi kuliko nguvu. Lissu ni akili kubwa sana, ana kipawa na karma yake ya kipekee mnoo katika kufanya harakati zake, ukiona anapambania jambo sasa kwa juhudi kubwa basi wewe jua kwa uhakika alishali 'plot' kitambo zaidi (huenda miaka isiyopungua mitatu nyuma). Na kwa sasa, bila shaka yoyote, watu wenye akili kubwa wameamua na wataamua kuwekeza zaidi kwake ili ujumbe ufike.

Watu wamechoka na chaguzi hewa, sio wapinzani tu, hata wanaCCM, wanausalama, viongozi wa dini, wafanyabiashara, wananchi wa kawaida, wafadhili na wawekezaji hawafurahishwi na hizi chaguzi zetu hewa, zinawaumiza wote. Panya yoyote mwenye ujasiri wa kujitolea kwenda kumfunga paka kengele akiibuka automatically ataungwa mkono tu na panya wote, hata kama ni kwa siri.

Heri nusu shari.....
Mkataa pema.....
Ajidhaniae amesimama.....
Hasira za mkizi......
Lisemwalo lipo........
KIKULACHO KINGUONI MWAKO.
Huwa najiuliza, hivi vikizuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, hawa polisi wanaweza kupigana kweli kama M23 ? Mshana Jr
 
Polisi wanatumika Tu, sio kwamba nao wako katika Mpango huu, walio na Madaraka juu ya polisi ndio watoa ramani wa mwenendo wa polisi
 
Back
Top Bottom