Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

DRC wazuie gas na nafaka kwenda Rwanda.

Winter is coming

Just kidding
ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka ile, ukifuatilia DRC kuanzia kipindi cha Kwame Nkrumah walikuwa pro Russian na Cuba ndio maana hata Che Guavara aliwahi kwenda kupigana Congo DRC, it is just tip of the ice berg lakini kuna fukuto kubwa chini yake. Juu unaweza kumuona tshkedi na mtusi lakini kuna mengi sana nyuma ya pazia
 
Sio simple sababu inahitaji uwe na uchumi mkubwa.
Tatizo nchi nyingi za ukanda wetu hazina matatizo mengi nje ya mipaka yao hata wawekeze sana kwenye ujasusi wa nje zaidi ya kutumia vitengo vya kijasusi jeshini kupata taarifa za nje ( mfano pale Israel, kitengo cha ujasusi jeshini kinaitwa AMAN, na ujasusi wa nje MOSSAD ambao wamekuwa na mafanikio kuliko Aman japo kuna vitu wana share na kupingana katika maamuzi)

Ila kwa Congo Kinshasa wangewekeza tu huge intelligence budget pale Rwanda sema tu wakubwa wapo nyuma wa migogoro ya DRC.

No need of total war, cuz haitosaidia mgogoro wa pale.
 
ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka ile, ukifuatilia DRC kuanzia kipindi cha Kwame Nkrumah walikuwa pro Russian na Cuba ndio maana hata Che Guavara aliwahi kwenda kupigana Congo DRC, it is just tip of the ice berg lakini kuna fukuto kubwa chini yake. Juu unaweza kumuona tshkedi na mtusi lakini kuna mengi sana nyuma ya pazia
Che Guavara aliporudi bongo akitokea Kwny mapambano huko Congo na kusepa zake Cuba alisemaje khs Kabila Senior na lile jeshi lake la waasi?
 
Back
Top Bottom