Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,105
- 2,637
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye.
Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.
Ulipenda wajitoe?Mara mmejitoa mara nyeyeye chedema mmekua na blah blah nyingi
Wawe na msimamo mmoja imara, kama upo ndani uwe ndani ukijitoa toka mazima, sio mkiona dalili za kushindwa mnatangaza kujitoa mkishinda mnapongezaba wtf ☹️Ulipenda wajitoe?
Labda ungeweka ushahidi wa tamko la uongozi wa CHADEMA kwamba imejitoaWawe na msimamo mmoja imara, kama upo ndani uwe ndani ukijitoa toka mazima, sio mkiona dalili za kushindwa mnatangaza kujitoa mkishinda mnapongezaba wtf ☹️
Kwa kufanya hivyo mategemeo yenu ni nini?Toka maktaba :
23 November 2024
Ndanto, Rungwe
Mbeya
Tanzania
MAPOKEZI YA FREEMAN MBOWE WILAYA YA RUNGWE TANZANIA 2024 TAMISEMI
View: https://m.youtube.com/watch?v=PeP4KmGBlJM
Ndanto ni kata ya Wilaya ya Rungwe katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 17,984
Wakaazi wa kijiji cha Nzunda kilichopo Ndanto ni mfano wa kuigwa, ukiwa Nzunda kata ya Ndanto utaona mengi ya kufurahisha.
Kijiji hiki kipo katikati ya kijiji cha Swaya na Ntokela Tarafa ya Ukukwe Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.Kijiji hiki ni nyota inayowaka na kuangaza mafanikio makubwa ambayo ni mfano wa kuigwa nchi nzima.
Ulipenda wajitoe?
Mafanikio kidogo sana, inaashiria kushindwa vibaya mwakani.Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye.
Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.