LGE2024 Rungwe: CHADEMA yashinda Uchaguzi Serikali za Mitaa katika Kata ya Ndato, Kijiji cha Goye

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,101
2,632
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye.

Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.

Screenshot 2024-11-28 100325.png

Hpa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Ikishinda CCM si huru! Ninachokubali ni kwamba kila aliyejipanga kwa uchaguzi alikuwa na nasafi ya kushunda.🙏🙏🙏
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye.

Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.

Toka maktaba :

23 November 2024
Ndanto, Rungwe
Mbeya
Tanzania

MAPOKEZI YA FREEMAN MBOWE WILAYA YA RUNGWE TANZANIA 2024 TAMISEMI

View: https://m.youtube.com/watch?v=PeP4KmGBlJM

Ndanto ni kata ya Wilaya ya Rungwe katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 17,984

Wakaazi wa kijiji cha Nzunda kilichopo Ndanto ni mfano wa kuigwa, ukiwa Nzunda kata ya Ndanto utaona mengi ya kufurahisha.

Kijiji hiki kipo katikati ya kijiji cha Swaya na Ntokela Tarafa ya Ukukwe Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.Kijiji hiki ni nyota inayowaka na kuangaza mafanikio makubwa ambayo ni mfano wa kuigwa nchi nzima.
 
Kwa kufanya hivyo mategemeo yenu ni nini?
Barabara mya, zahanati mpya, uwanja wa ndege pengine?
 
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye.

Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.

Mafanikio kidogo sana, inaashiria kushindwa vibaya mwakani.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom