Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,202
- 33,263
Mpaka sasa tushapata idea how these makirikiri operate,
kwanza wanakuapproach wakijifanya law enforcement ageng,
wakitaka ufatane nao kwa mahojiano,wewe utajua labda ni polisi,ila ukiwaomba kitambulisho ndo unaweza kuambulia makofi,then wanakuingiza ndani ya gari na kukuziba macho ili usijue unapelekwa wapi,
hawa watu watakuwa wame establish safe house ajili ya kuhojia na pengine hata kufanya toturing na either kuku disparch ili ukarutubishe ardhi,
sasa ukishafika huko kama ,wanakuhoji na kama hueleweki watakutesa na kukuweka mpaka wapate watakacho,
kama hutoi ushirikiano watakuwa na option mbili,either kukuua ama kuendelea kukuweka.
Kama umetoa ushirikiano watakuingiza katika kali ukiwa umezibwa usoni na kukudump sehemu lakini baada ya kuwa umepewa vitisho na yule mkulima vya kukufunga mdomo,
vitisho kama vile,"kijana usithubutu kusema haya yaliyokutokea ama sivyo yule mwanao anaesoma sant maria,yule mwanao kipenzi utampoteza,kama unaipenda family yako keep kwayat".
Mkatolic hana ujanja atakaa kimya