MZALENDO NO.1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 302
- 134
Am very very proud to be a Tanzanian,
Povuuu la nn sasa!!!au weee inakuhusu nn yeye akiandika hivyo au unataka kumpangia cha kusemaWewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Mtoa mada nakuomba kituon haraka utusaidie kwa upelelez
Roma amejiteka kutafuta umaarufu
maelezo mazuri kabisa haya mkuu na anatakiwa kesho aseme ukweli wa hayo maelezo hapo juu na siyo mengineyo.
Tatizo mnataka aseme ambayo mgependa kuyasikiaSifikirii kama atasema bayana ya yaliyomkuta.Kutishiwa uhai kubaya.
Aliimba .."leta defender!,leta wajeda !leta wagambo!..Roma nimejitoa muhanga...!"
Wamepeleka Noah tu,karudi ameufyata.Eti hawezi kuzungumzia tukio,utafikiri kuna kesi inayosikilizwa.
Roma amejiteka kutafuta umaarufu
Unamlisha? Hivi kwa nini mnaongea Sana kauli hii kikasukukasuku? Hivi ninyi Ni nyapara WA kusimamia kazi wanazofanya watu na kujua wanazifanya muda gani??Na kazi utafanya lini kwa maana Wiki itakuwa karibia inakwisha!
Basi mama Daudi tumekusikia.Acha blah blah zako, ungekuwa na ukweli halisi ungemwaga na sio kusubiri Jumanne.
Unamtishia wewe kama nani? Acha kuleta ufaku wako huku, kaa huko muisome namba.
Mnapenda sana kutunga uongo shaaaaaaa
Ona upupwu uliouandika kumblackmail, kama una ubavu jitokeze kwa mapaparazi uonekane unayaongea uliyoyaandika. Au weka jina lako kamili na mengine ujulikane.
Kuja na ID feki umegusa mwamba, shame on you.
Mtanyooka tu, fanyeni kazi wavivu wakubwa hakuna vya shoti kati tena.