Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe waongea na waandishi wa habari

Mimi nafikili alienda kumtisha asiongee ukweli ndiomana alipo ulizwa ikisadikika ni kweli serikali ili mteka Roma utafanya nn alishindwa kujibu
 
Mimi siwajui yeye na Roma kwa sura hivyo nilipoangalia picha nikadhani ndiye roma, ni mwandishi aliyenistua!
 
Mimi nafikili alienda kumtisha asiongee ukweli ndiomana alipo ulizwa ikisadikika ni kweli serikali ili mteka Roma utafanya nn alishindwa kujibu
Nadhani kashawajibu leo.. Yeye ni waziri mwenye dhamana na familia ya Roma ilikua ikimpigia sana simu kuomba msaada.... Sasa sijui aliyeropoka huu upuuzi yéyé ni nani? Au alitaka aende yéyé kuuza sura? Mxieee asingeenda pia mngeleta midomo yenu kunuka
 
Kwani Kuna tofauti gani kati ya uwepo wa mwakyembe ktk press conference ya ROMA na uwepo wa Nape katika press conference ya cloudsfm wakati ule mkuu wa mkoa alipovamia kituo Chao, tuache unafiki au ndio tunaendeleza zile tabia zetu za kuichukia nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake tunakunywa, yaani siasa zimetufanya tuwe wanafiki wanafiki.
 
Msiumize kchwaa alienda kuhahakksha waliokubaliana asiongee haongei kwel mkewe hamuon alikuwaa anamsuta kwa kumuangalia vbaya mno!
 
Mawaziri wa John wote hawana kazi za kufanya kwasababu kila kitu anafanya mwenyewe ndio maana wanaonekana hata kwenye mambo yasiyowahusu.
 
Uhuru uko wapi???? Tunagombania Uhuru? Hii ni Tanzania inanuka damu ya waharamia Fulani wa .......
R.O.M.A Funguka bro wakikudiss watajulikana Na mimi nitakuwa nyuma ya hatua yako. [HASHTAG]#2020[/HASHTAG] Tufanye kweli.
 
Back
Top Bottom