Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,416
Roma angeambatana na mwanasheria wake, sio mwakyembe. Body language ya Roma toward kyembe, inajieleza yenyewe. Kyembe naye ni mmoja wa wahusika wakuu plus bashite
Sizonje alisema ni Rais anayejiamini, sasa mbona ameanza kuteka na kutesa vitoto vidogo vinavyojitungia mashairi ili vijipatie riziki!!Kama utekaji wa watu umeanza mapema hivi je tukifika 2020 wakati wa uchaguzi mkuu hali itakuwaje? ni swali tu!
Just keep quite ,you nothing, talking nonsenseThis is your opinion and you have right to think any how but that does not mean what you think is the fact ,and it is better you finish your post by saying that it is just an opinion not a fact unless you come up with evidence
Kwann asithubutu, utamtolea Bastola?WABONGO BANA MABWEGE SANA YAANI UTAKUTA MTU ANALAZIMISHA ROMA KUSEMA UKWELI UTAFIKIRI ALIKUWEPO KWENYE TUKIO LA UTEKAJI NA ANAJUA KILA KITU SASA WEWE UNAYESEMA ROMA HAJASEMA UKWELI BASI WEWE ITA WANDISHI WA HABARI USEME HUO UKWELI TUONE KAMA UTATHUBUTU NYAU WEWE.
KUPIGA KELELE MNAJUA ILA MATENDO ZERO MWACHENI ROMA BANA.
MKE NA MTOTO WAKE NDIO WENYE UCHUNGU NYIE WENGINE WANAFIKI TU HAMNA LOLOTE ....BIG UP ROMA MKATOLIKI
Asalamalekum...This is your opinion and you have right to think any how but that does not mean what you think is the fact ,and it is better you finish your post by saying that it is just an opinion not a fact unless you come up with evidence
Muwe na huruma watanzania Roam hayuko huru anayotamka na yaliyo kichwani kwake ni vitu viwili tofauti!Roma is under duree,kapangiwa kila silabi ya kuongea asiongeze hata chafya,waliotekwa ni watatu lakini mpaka sasa anahojiwa Roma tu wale wengine hawana cha kuzungumza just offer company kwa Roma au to collaborate huo mchemsho wa habari,Yule dada ndio kaunguza kabisa scenario, yaani kaharibu kila kitu, kwa sasa kila mtu anaamini kabisa Roma alipangiwa cha kusema na alikuwa anaongozwa cha kusema pia.
Yaani hadi aibu, kweli Team Bashite ni vilaza wa hali ya juu, hawajui kucheza wakiwa Smart.
This is your opinion and you have right to think any how but that does not mean what you think is the fact ,and it is better you finish your post by saying that it is just an opinion not a fact unless you come up with evidence
Awataje Wadhamini wa Igizo lake na si vinginevyo, Bashite kishajitaja Mwenyewe, Yeye amalizie waliobaki
Baada ya mwakyembe kuwaasa wasanii kwamba "ukiona msanii unahojiwa na mtu haeleweki nipigie hata simu tu"
Wakili Albert msando ameandika hivi>>>>>Hili tangazo limenifanya nikumbuke tangazo la kwenye swimming pool ukiona unazama piga namba hii 07********555 Sasa huyo mtu wa ajabu atakua fala mpaka akuache upige simu!
Haki ya nani kuna vitu ukivifikiria unaweza kujikuta unadeki kanisa la ufufuo na uzima ,Sasa walio LIKE wame LIKE nini.Mi nimechoka
Sasa wewe DogoJanja unachekelea nini?Nimeona tweet yako,Sasa hivi utatakiwa kumpigia simu waziri wa habari utamaduni na michezo au waziri wa mambo ya ndani?
Sasa hivi unachekelea kwamba Nesi akihojiwa na mtu wa ajabu ampigie simu waziri wa afya?
Mwalimu akihojiwa na mtu wa ajabu ampigie simu waziri wa elimu?
Na konda na boda boda akihojiwa na mtu wa ajabu ampigie simu waziri wa mawasiliano na uchukuzi?