Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Umesomeka mabachelor mpite hapa
Kaalndika ujinga mtupu

Mke mwema hupatikana Kwa kuomba Mungu sio Kwa kumkodolea macho tu

Eti ohh wewe ndie uwe unemtia mimba huyo single mother mwanamke Gani mwenye heshima zake atakubali umtie mimba Kwa Rushwa laghai kuwa utamuoa? Wako kibao wametiwa mimba na wanaume wametelekeza

Tatu eti awe anakaa Kwa wazazi wake sio getto mjinga mkubwa mtu wazazi wake wako Mwanza yeye kapangiwa kazi Arusha atakaa Kwa mzazi wapi Mleta mada mjinga tu

Eti asiwe kalalewa na mama peke yake na kijana kama kalelewa na mama yake vipi.Kigezancha kulelewa na mama. Peke yake viko vingi kingine unakuta mtu alifiwa na mumewe kamwachia watoto

Kiujumla alichoandika ansonyesha hajakomaa akili baodo Mleta mada ni playboy mjinga Fulani hivi
 
Mkuu, mimi nachangia nikiwa kama mtu ambaye nimeishi miaka mingi na kuyaona mengi ktk miasha yangu ya mahusiano na watu walionizunguka.

Hayo yote uliyoyasema yana ukweli kwa 97%.
Ukiona Mzee mjinga ujinga wake haukuanza uzeeni unaanzia ujanani wewe ni mmojawapo wa wazee wajinga kama Mleta mada alichoandika kama unakiunga mkono una umri mkubwa lakini una akili za kitoto na ujinga huo haujakusitukiza tu uzeeni ulianza nao ujanani
 
Salute,
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha.

✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo

✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha kuzaa na kama kashazaa wewe ndio uwe ulimzalisha. Usithubutu kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine. Hata Saint Joseph baada ya kusikia maria kapewa mimba na mwanaume mwingine aliamua kumuacha mchumba wake. USITHUBUTU KUOA SINGLE MOM...

✔️Hakikisha mkeo mtarajiwa amelelewa na wazazi wawili hasa uwepo wa baba yake maishani mwa mke wako ni muhimu sana kwa ajili ya afya ya ndoa yenu.

✔️Hakikisha unatafuta mke ajili ya kujenga na kutunza familia achana na hao wanaojiita Superwomen... Kama unataka kiharusi/stroke ya mapema oa mwanamke halafu nyote wawili muwe mnatoka kwenda kusaka pesa. Aloooh utaishia kujidunga maana stress ni mingi. Mwanaume inatakiwa wewe ndio utafute hela za kuendesha familia yako na kumtunza mkeo, na sio nyote mkatafue. Utakua unaenda kinyume na Uasili wa kiume pia kinyume na maagizo ya Mungu. Dini zote zinapinga hili. (Dini ya mashoga tu ndio inakubali.. Washirika wake wanaume utawaona wakipinga hili)

✔️Hakikisha unaoa mwanamke ukiyemzidi umri angalau miaka 10. Ni jambo la ajabu ww umezaliwa 96/95 afu unaoa mwanamke aliyezaliwa mwaka 97,98, au99. Wanaume wote waliozaliwa 95 mpaka 99 hakikisha huoi mwanamke wa 90s. Kuna wanawake wengi wazur na wanafaa kuolewa wamezaliwa 2000-2005. Achana na namba D au C chukueni namba E. 2000s

✔️Hakikisha huyo mke wako mtarajiwa sio mlokole...yaani sio wale wanaojifanya wapo deep in praying. Kila kitu wanakemea kila kitu wanajifanya kuhusisha uwepo wa roho mtakatifu. Wengi ni wanafki na washenzi. Wana tabia zote mbaya! Na kubwa zaidi asiwe anasali kwa manabii au anasali kwenye haya makanisa yapo kama vibanda umiza. Au yale yanayojiotea tu kama mchicha. Waokope sana wanawake wa namna hiyo... Wengi huko huenda kutega ili wajipatie maboya wa kuwaoa.

✔️Hakikisha mwanamke wako anakutii na kukuheshim.. Wanawake wa aina hii hutawakuta kenya na mikoa inayopakana na kenya. Mwanamke bora inatakiwa pindi inapotokea kutokuelewana kati yenu siraha yake kuu iwe "naomba nisamehe mme wangu" kisha baadae hali ikishakua shwali ndio anaeleza uliyomuudhi. Nb. Kumuomba msamaha mwanamke wako ni jambo jema ila mwanaume usizoee kufanya hivyo. Mkeo atakadharau na kukuona wewe submissive hence atatafuta mwanaume mwingine mbabe kukuzidi. Coz hatokua anafeel ule uanume wako wa ukali na ubabe

✔️Jiepushe na wanawake wenye element za ufeminist. Yaani ujuaji mwingi kila kitu kwake ligi anajua.

✔️Bikra ni muhimu ila isiwe kigezo cha.

Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie.

Ndimi,
Da'Vinci
-Mwenyekiti wa vijana wa 90s. (self proclaimed)
Taifa.
View attachment 2890110
Asante kwa ushauri, ni muda muafaka sasa for a wedlock in my life.
 
Kaalndika ujinga mtupu

Mke mwema hupatikana Kwa kuomba Mungu sio Kwa kumkodolea macho tu

Eti ohh wewe ndie uwe unemtia mimba huyo single mother mwanamke Gani mwenye heshima zake atakubali umtie mimba Kwa Rushwa laghai kuwa utamuoa? Wako kibao wametiwa mimba na wanaume wametelekeza

Tatu eti awe anakaa Kwa wazazi wake sio getto mjinga mkubwa mtu wazazi wake wako Mwanza yeye kapangiwa kazi Arusha atakaa Kwa mzazi wapi Mleta mada mjinga tu

Eti asiwe kalalewa na mama peke yake na kijana kama kalelewa na mama yake vipi.Kigezancha kulelewa na mama. Peke yake viko vingi kingine unakuta mtu alifiwa na mumewe kamwachia watoto

Kiujumla alichoandika ansonyesha hajakomaa akili baodo Mleta mada ni playboy mjinga Fulani hivi
Sisi Huwa tunapokea mawazoyenu nyie mnavotaka mwisho wasiku tunajua hamzingatii mambo kma hayo kilamtu ana choice yake na kwenye mapenz formula ndo hakunaga
 
Kwengine sijapitia saana

Ila hapo kwenye namba E nimekupata uzuri kabisa yanii murua na ninaomba tuwe pamoja katika kusubiri namba F maana hata namba E zimekimbia kimbia sana zimeshasambaa 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom