Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 789
- 1,227
- Thread starter
- #181
Dooohhhh!!! Hatimae chief, thanks alot
Yap we did it!!At last
Agano jeusiWakuu poleni kwa kuwaweka sana bila muendelezo but jumatano tunamaliza hii Riwaya then tunaanza mzigo mpya.
Ninyi ndio wa kutoa maoni ni mzigo gani mngependa ufuate kati ya hii miwili.
1: Siri ya Meza Huu ni mzigo wa kijasusi, umesheheni mambo mengi sana yatakayowaanda vyema majasusi wapya kuukabili na kuuhimili ulimwengu wa kijasusi.
Humo tutaiangazia pia mbinu ya Avadra kwa undani zaidi kwa wale watamanio kuujua ulimwengu wa giza kwa kiasi chake.
2: Agano Jeusi Huu ni mzigo unaohusu mafungamano ya ulimwengu wa mali na ulimwengu wa ufukara, humu kuna watu tutachukiana hususani wale tunaofahamiana maana hawatapenda kuyasoma yale yanayowalenga wao ila hatuna namna.
Karibuni sana idadi ya kura kutoka kwenu ndio itaamua mzigo gani tuanze nao.
Sonko Bibo.
IanzeVery soon kuna kigongo kipya kitaanza kinaitwa AGANO JEUSI.
Tuendelee kuwa pamoja.
Pia anehitaji mizigo hii inapatikana ikiwa katika muundo wa pdf. Mawasiliano ni, 0653532222.
Sonko bibo Acha maagano ya kichawi sasa tumalizie hii simulizi Kaka ya mabaduni wa serikaliHii hapa
Thread 'Agano Jeusi' Agano Jeusi
Part two?Sonko bibo Acha maagano ya kichawi sasa tumalizie hii simulizi Kaka ya mabaduni wa serikali
Lee zhao feng Unamaanisha nn mpaka leo hujanipa ufafanuzi mkuu.Sonko bibo Acha maagano ya kichawi sasa tumalizie hii simulizi Kaka ya mabaduni wa serikali
Karibu sana mkuu..Naam