Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Mnachowaza tz anaepingana au kushaur anatoka upinzani huo ndo mwisho wa fikra zenu
Kwani hapo umeshauri au umekosoa... Na anayekosoa hata cha maana huwa anakuwa mpipnzani.. Na ndivyo mlivyomezeshwa kupinga kila jambo... Na huo ndio ubivu wa fikra zenu mmeshikiwa na mtu fulani, akikuambia hiki kizuri hata kama ni kibaya we unatrust,.... Na kinyume chake ni sawa.....
 
Andika vizur ndo upost papara za nini ushasomeka ccm inafanya vizur
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii

Ila m namuona babako ndo fisadi na umkome mtu wa watu.....!!! Msengelema ww!!
 
Back
Top Bottom