number41
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,048
- 1,465
Kwaiyo unataka kuniambia hukumu ya lowassa ni kwasababu ya uzushi wa chadema mbona leo ccm nao wanaimba lowassa mwizi tena ndo wale waliokataa kipindi kile sasa kwakua wao ndo wenye serikali tunaomba waende mahakani mana walisema kesi ya jinai hua aiishi mda wowote inarudi mahakaniTunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......
Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??
Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......