Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Kwaiyo unataka kuniambia hukumu ya lowassa ni kwasababu ya uzushi wa chadema mbona leo ccm nao wanaimba lowassa mwizi tena ndo wale waliokataa kipindi kile sasa kwakua wao ndo wenye serikali tunaomba waende mahakani mana walisema kesi ya jinai hua aiishi mda wowote inarudi mahakani
 
Well said mkuu.
Mkuu umegundua ndani ya ccm kuna watu wengi sana wenye IQ ndogo sana. Ndio maana mpaka leo magu hana anachofanya zaidi ya kutumbua majipu yao. Manake kimelea watu wasiofikiri kwa miaka 50. Mpaka leo magu anatumbu majipu ya CCM. Sijaona ya upinzani.

CCM ilishakua cancer. Akili zao bado ni za ukijani kijani tu.

Kuna maswali ya msingi kama haya hawajiulizi kabisa.
 
Mungu anakuona ujue! Haya lakini. Nyie sio wa kulaumiwa coz hamjui mlitendalo. Zidumu fikra za familia ya Mtei!

Lumumba mnashangaza sana mkiona chama kinapata ufuasi na kuwa tishio kwenu lazima mtafute sababu kama za Ukanda, Ukabila, Udini, Uasili nk . Kwa sababu tu mnajua watoto wengi mmewakomeshea shule za misingi na zaidi sana shule za kata hawawezi kuchanganua juu ya propaganda zenu(poor Tz)

Hawawezi kuthubutu Lowassa aliwaambia live ktk hamashauri kuwa m/kiti nini usichokijua mpaka wamuache huyo mtoto (nape) azunguke nchi nzima akimtukana. M/kiti kimyaaaaaa sana wathubutu wachokonoe mambo msoga
 
Blah blah blah
.
 

Niliyemjibu kanielewa so sina haja ya kuendelea kulumbana na mamwela.

Kama hujaelewa potezea.
 
Wanaodai wapelekwe mahakamani hawapelekwi na wanaopelekwa kwa utakatishaji wanabadilishiwa mashitaka. Ngoja mahakama ya mafisadi ianze. Haiwezekani mdeni wetu tumuache anatamba barabarani na huku tunadai alituibia.
 
Sina shaka na maelezo yote hayo. Lakini swali langu ni je, Lowassa angebaki CCM na kueleza aliyoeleza, mngemuelewa?!
To be honest asingeeleweka kabisa.

Mazingira yanaonyesha hivyo.

Pia, kwa mtazamo wangu Mpaka EL akawa na guts ya kujitoa CCM. Ni wazi alijipanga vizuri kwa lolote lile. i.e. Hakukurupuka..

Kwani hata wana ccm vilevile hawakutaka aondoke chamani.

Na ukichukulia mazoea kua ukihama ccm unaadhirika kama mrema nk.

Ile Hotuba yake ya kuhama CCM, ma kuja chadema, iliandaliwa kwa ufundi sana
 
nilimsikiliza Mh lowassa kwenye kamati kuu baada ya kuletwa na Dr Slaa , hakika nimeamini huyu mzee hahusiki na Richmond , ushahidi wa wazi ni kwamba baada ya yeye kutoka , ile Richmond bado inaishi , inafadhili viwanja vya michezo ( gerezani - kariakoo ) kwa jina la symbion na bado inatamba pale ubungo .
 
Umeona ee?! inashangaza sana watu wazima wanashindwa ku reason just because wamelishwa maneno, hovyo kabisa.
 
Unajua sababu za kutimuliwa kwake na Mwl Nyerere, asigombee urais mwaka 1995? Je unajua alitimuliwa kazi ya uwaziri wa ardhi enzi za Mwinyi?

Umdogo sana kwenye siasa
KUsema tu haisaidii kwani Nyerere yeye ni malaik? au unafikiri nyota ya Lowasa Nyerer hakuiona? Nyerere alikuwa hataki mtu awe juu yake kiuongozi ndio maana alikuwa anazima ndoto za wengi wanao chipukia, if Nyerere said must be ok? Be serious!
 
KUsema tu haisaidii kwani Nyerere yeye ni malaik? au unafikiri nyota ya Lowasa Nyerer hakuiona? Nyerere alikuwa hataki mtu awe juu yake kiuongozi ndio maana alikuwa anazima ndoto za wengi wanao chipukia, if Nyerere said must be ok? Be serious!
Na hiyo kubalaswa uwaziri wa ardhi?

Mbona nyie mnamtetea tu Luwassa kwa mdomo kisha mwataka tuwakubalie?
 
Na hiyo kubalaswa uwaziri wa ardhi?

Mbona nyie mnamtetea tu Luwassa kwa mdomo kisha mwataka tuwakubalie?
Kwa sababu na Nyerere ni binadamu lazima anafanya kosa, kumtoa baraza la ardhi bila kusema kosa alilofanya huko ni muendelezo wa utumiaji mbovu wa madaraka kuongea bila fact, kwa sababu kasema nyerere au mwakyembe ndio iwe sawa? Nyerere mwenyewe alisha kiri alifanya mengi ya kipuuzi na hilo likiwa moja wapo.
 
Hapo umenena bossi
 
Alikuwa Mwinyi aliyembalasa, na sababu zilikuwa ufisadi huu huu unaozungumzwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…