Richard Kasesera: Nyota iliyozimika kama mshumaa nyikani

vijana wanasema Mheshimiwa anapenda sana kupewa Air time , ndio nikaona ngoja na mimi nimpaishe .
.......kwahiyo ni kazi ya kujitolea !.....poa, ni kama vile umbe ! Watu hawatumwi wala hawalipwi lakini wanasambaza umbea kwa gharama zao.
 
Unalipwa na Msigwa kwani hatujui,
hivi mtu aliyeshinda kwa tofauti ya kura 10,000 , mpaka ccm inataka kumtimua Msakatavangu mwenyekiti wa chama wa mkoa , ana shida ipi ya kutafuta wapambe wa kumfagilia ?
 
Huyu mshkaji burudani sana.....huwa nikiangalia pichaze naondoa stress
 
Back
Top Bottom