Richard Kasesera: Nyota iliyozimika kama mshumaa nyikani

Leo kaja napicha anakula mhindi ambai aujaiva alafu ukiikuza mhindi aujafika mdomonisijuu nan anamadvs maskin
 
Hajapotea juzi kawaita waandishi wa habari wampige picha akila muhindi
1459353157673.jpg
Huyo hapo anafanya yake......
 
Huyu Dc kwa muda mfupi sana alijipatia umaarufu wa pekee hasa baada ya wananchi wa Iringa kukumbwa na mafuriko ,

alishinda na wahanga kwa 24/7 na kuhakikisha wanapata misaada ya hali na mali , wengi tulimpongeza kwa jambo hilo na tukaona sasa kweli Iringa imepata DC hasa , ilifika wakati jamaa alijitosa ndani ya tope tena bila viatu na wala hakuogopa hata hookworms , lengo likiwa lile lile la kuokoa maisha ya wahanga .

Kibao kilikuja kugeuka pale alipoanza kujitafutia umaarufu kupitia mafuriko hayo , sasa badala kuwa mwokozi tu akaanza na kutafuta promo , mara kabeba mwandishi ili apigwe picha ionekane kabeba mhanga wa mafuriko ! wadau wakastuka , mbiu zikapigwa nchi nzima kwamba " eti mkuu anautafuta u -RC kufa na kupona "

cha ajabu sasa baada ya wakuu wa mikoa kupatikana mjomba katoweka hewani !

swali ni je ni kweli Kasesera mbilinge zote zile ulilenga U- RC ?

Hebu nielimishwe, hivi hookworms wanaweza kupatikana kwenye tope? I am not so sure on this, it appears this is a new development on hookworms?
 
Hebu nielimishwe, hivi hookworms wanaweza kupatikana kwenye tope? I am not so sure on this, it appears this is a new development on hookworms?
jiongeze mjomba , unatakiwa kusoma zaidi ya herufi unazoziona .
 
Ni komediani wa siasa. Nilimjua alipojipenyeza kwa hila kafanikiwa kuwa Mwenyekiti wa chama mpira wa kikapu Tanzania. Hila zake zikasababisha uongozi imara uliokuwepo wa akina Msofe uparaganyike. Akauacha mchezo huo hoi. Akajaribu ubunge. Akashindwa kura za maoni. Simpendi kwa kuparaganyisha mchezo wa mpira wa kikapu (basketball) nchini
 
Ni komediani wa siasa. Nilimjua alipojipenyeza kwa hila kafanikiwa kuwa Mwekiti wa chama moira wa kikapu Tanzania. Hila zake zikasababisha uingozi imara uliokuwepo wa akina Msofe uparaganyike. Akauacha mchezo huo hoi. Akajaribu ubunge. Akashindwa kura za maoni. Simpendi kwa kuoaraganyisha mchezo wa mpira wa kikapu (basketball) nchini
...Kwenye Mpira wa Kikapu ndiko alokokutana na JMK...Akamweka kwapani mpaka kwenye U-DC!
 
Back
Top Bottom