Kwani hapo kuna uongo gani? Tuambie ni kiongozi gani ambae watoto wake wako kayumba?? Huyu Rc ni wakutiliwa mfano.Binafsi nimepata fursa ya kutazama clip moja ikimuonyesha mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dodoma akiongea nawananchi kuhusu suala la kambi za masomo ya ziada kwa wanafunzi wakati wa likizo.
Kama mwananchi nimesiitishwa na baadhi ya maneno yaliyotumika pale.
Hoja yangu hapa sio SAHIHI au KUTOKUWA SAHIHI kwa tangazo lile la mheshimiwa waziri wa elimu.
Hata mimi binafsi, natofautiana na tangazo lile la kusitisha camp za masomo wakati wa likizo kwa watoto wetu.
Tatizo lililopo hapo ni lugha, iliyotumiwa na mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dodoma kwenye kufikisha ujumbe wake kwa wananchi
Je kulikuwa na ulazima gani kwa mheshimiwa mkuu wa mkoa, kusema kuwa aliyetoa/ waliotoa tangazo lile, alifanya/walifanya hivyo kwa kuwa tu mtoto/ watoto wake wanasoma nje ya nchi?
Maana ya kauli hiyo inaweza kuwa.
Kwamba kuwa watu tuliowapa/ waliopewa dhamana ya kusimamia elimu nchini kwetu, hawana uchungu wa elimu yetu, kwa sababu tu watoto wao wasoma nje ya nchi.
Kauli hiyo sio kwamba tu inamdhalulisha mteule wa Rais, bali pia inaweza kuwa inamkosea heshima hata aliyemteua yeye mheshimiwa mkuu wa mkoa Dodoma.
Kama ningekuwa mimi ndio mkuu wa mkoa wa Dodoma.
Ningewaambia wananchi, nyie endeleeni na utaratibu wa kuweka kambi za masomo ya ziada, wakati sisi kama uongozi wa mkoa, tunaendelea kufanya mawasiliano na wenzetu wa wizara ya elimu.
Uongozi ni dhamana, ni dhamana kubwa, ni muhimu sana kwa kiongozi kuchunga ndimi zao, pale wanapozungumza na wananchi/ umma.
RC dodoma 💯✓✓✓✓✓✓Binafsi nimepata fursa ya kutazama clip moja ikimuonyesha mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dodoma akiongea nawananchi kuhusu suala la kambi za masomo ya ziada kwa wanafunzi wakati wa likizo.
Kama mwananchi nimesiitishwa na baadhi ya maneno yaliyotumika pale.
Hoja yangu hapa sio SAHIHI au KUTOKUWA SAHIHI kwa tangazo lile la mheshimiwa waziri wa elimu.
Hata mimi binafsi, natofautiana na tangazo lile la kusitisha camp za masomo wakati wa likizo kwa watoto wetu.
Tatizo lililopo hapo ni lugha, iliyotumiwa na mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dodoma kwenye kufikisha ujumbe wake kwa wananchi
Je kulikuwa na ulazima gani kwa mheshimiwa mkuu wa mkoa, kusema kuwa aliyetoa/ waliotoa tangazo lile, alifanya/walifanya hivyo kwa kuwa tu mtoto/ watoto wake wanasoma nje ya nchi?
Maana ya kauli hiyo inaweza kuwa.
Kwamba kuwa watu tuliowapa/ waliopewa dhamana ya kusimamia elimu nchini kwetu, hawana uchungu wa elimu yetu, kwa sababu tu watoto wao wasoma nje ya nchi.
Kauli hiyo sio kwamba tu inamdhalulisha mteule wa Rais, bali pia inaweza kuwa inamkosea heshima hata aliyemteua yeye mheshimiwa mkuu wa mkoa Dodoma.
Kama ningekuwa mimi ndio mkuu wa mkoa wa Dodoma.
Ningewaambia wananchi, nyie endeleeni na utaratibu wa kuweka kambi za masomo ya ziada, wakati sisi kama uongozi wa mkoa, tunaendelea kufanya mawasiliano na wenzetu wa wizara ya elimu.
Uongozi ni dhamana, ni dhamana kubwa, ni muhimu sana kwa kiongozi kuchunga ndimi zao, pale wanapozungumza na wananchi/ umma.
Kwani uwongo? Mna ucuungu na watoto wa wanyonge? Acha kujifaragua. Huo ndiyo ukweli. Mtoto wa kibosile gani anasoma kayumba?Maana ya kauli hiyo inaweza kuwa.
Kwamba kuwa watu tuliowapa/ waliopewa dhamana ya kusimamia elimu nchini kwetu, hawana uchungu wa elimu yetu, kwa sababu tu watoto wao wasoma nje ya nchi.
Hakuna kilichoniudhi mpaka anaingilia masuala ya maendeleo ya familia ya mwenzake, mala oooo, yeye anasomesha watoto international , ni afadhali wangezinguana kimfumo sio mpaka personal ensues.Binafsi nimepata fursa ya kutazama clip moja ikimuonyesha mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dodoma akiongea nawananchi kuhusu suala la kambi za masomo ya ziada kwa wanafunzi wakati wa likizo.
Kama mwananchi nimesiitishwa na baadhi ya maneno yaliyotumika pale.
Hoja yangu hapa sio SAHIHI au KUTOKUWA SAHIHI kwa tangazo lile la mheshimiwa waziri wa elimu.
Hata mimi binafsi, natofautiana na tangazo lile la kusitisha camp za masomo wakati wa likizo kwa watoto wetu.
Tatizo lililopo hapo ni lugha, iliyotumiwa na mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dodoma kwenye kufikisha ujumbe wake kwa wananchi
Je kulikuwa na ulazima gani kwa mheshimiwa mkuu wa mkoa, kusema kuwa aliyetoa/ waliotoa tangazo lile, alifanya/walifanya hivyo kwa kuwa tu mtoto/ watoto wake wanasoma nje ya nchi?
Maana ya kauli hiyo inaweza kuwa.
Kwamba kuwa watu tuliowapa/ waliopewa dhamana ya kusimamia elimu nchini kwetu, hawana uchungu wa elimu yetu, kwa sababu tu watoto wao wasoma nje ya nchi.
Kauli hiyo sio kwamba tu inamdhalulisha mteule wa Rais, bali pia inaweza kuwa inamkosea heshima hata aliyemteua yeye mheshimiwa mkuu wa mkoa Dodoma.
Kama ningekuwa mimi ndio mkuu wa mkoa wa Dodoma.
Ningewaambia wananchi, nyie endeleeni na utaratibu wa kuweka kambi za masomo ya ziada, wakati sisi kama uongozi wa mkoa, tunaendelea kufanya mawasiliano na wenzetu wa wizara ya elimu.
Uongozi ni dhamana, ni dhamana kubwa, ni muhimu sana kwa kiongozi kuchunga ndimi zao, pale wanapozungumza na wananchi/ umma.
Hopeless folkNdalichako ndiyo kavuka mipaka ya kuwa "waziri juha". Yaani anasema asichokijua anajua asichokisema.
Mtaka kamatia hapo hapo!!
Juha baba ako wewe nyumbu! Waziri ni msomi na ana exposure kuliko wewe! Acha mihemkoNdalichako ndiyo kavuka mipaka ya kuwa "waziri juha". Yaani anasema asichokijua anajua asichokisema.
Mtaka kamatia hapo hapo!!
Sasa mbona Kaufyata ???Ameteleza kwa kusema ukweli! Binafsi nawakubali sana watu wanaosema ukweli.
Hayo mambo ya kubembelezana na kufichiana madhaifu, yalishapitwa na wakati.
Mirembe material unafanya nn humu JF?Hopeless folk
Ilipaswa kuwa umelazwa Milembe. Umefikaje huku JF??Juha baba ako wewe nyumbu! Waziri ni msomi na ana exposure kuliko wewe! Acha mihemko
Wewe humu jf unafanya nini?Mirembe material unafanya nn humu JF?
Wewe umefikaje humu JF ? Kama huna hoja piga kimya wewe nyumbu!Ilipaswa kuwa umelazwa Milembe. Umefikaje huku JF??
Non senseNimefedheheshwa sana na kauli ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ndugu Antony Mtaka juu ya kuwataka wadau wa elimu na wananchi wa Dodoma kutotii muongozo wa wizara ya elimu wa kutaka wanafunzi wote masomo yaishe saa 9 alasiri.
Kwanza mkuu wa mkoa amepotoka kwa kutaka watu wasome muda wote bila kupumzika na ili atambue hilo anapaswa kujua kuwa Katazo lile linawasaidia walimu na wanafunzi kupumzika, kufanya shughuri zingine za kijamii n.k.
Elimu inatambua muda wa kupumzika ndiyo maana kila Aristotle, Maria Montisori na wengine wengi walihimiza mfumo wa mihula ili watoto wawe na uwezo wa kuyatambua maisha ya nje ya kitaaluma.
Kutokana na katazo la wizara ambalo kisera ni muongozo ni wazi wadau wote wa elimu wanafahamu umhimu wa wake kwa watoto wetu. Mkuu wa mkoa ni mtekelezaji wa maagizo na msimamizi wa sheria mkoani kwake, kupinga kwake tamko hili ni wazi amekosa busara na tayari ameshaota kiburi.
Waziri ndalichako mwenyewe ni mzigo inabidi apunzishwe tu hyo nafasi licha ya uprof wake wizara imemshinda
Shule nyingi watoto wanasoma mbali kama alivyosema RC Mtaka. Hawa watoto unategemea wafanye vizuri kweli.Nimefedheheshwa sana na kauli ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ndugu Antony Mtaka juu ya kuwataka wadau wa elimu na wananchi wa Dodoma kutotii muongozo wa wizara ya elimu wa kutaka wanafunzi wote masomo yaishe saa 9 alasiri.