TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,187
- 25,435
I sense, Kambona, was our 'man' in Europe. Ndiyo maana tuliwayumbisha wazungu huko Rodhesia na Afrika Kusini na Angola na Msumbiji na nchi hizo zikajipatia uhuru. Unganisheni dots wakuu.... hakuwapenda wasomi, NA kambona was the biggest threat he had.
Aaah si tu naona mambo yanavyoenda.ukimwangalia lipumba, mrema aaahhhKwa nini hakiwezi kutokea??
kwa maandiko ya ami rajab kule raia mwema,mwalimu hakupenda kukosolewa,rejea mkutano na waandishi kule kenya na maswali ya mzambiaUnajua huwa najiuliza sana ni kivipi Nyerere ange-fare kwenye hizi siasa za vyama vingi na anuai na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo hivi sasa...
Manake baada ya yeye kupiga marufuku demokrasia, karibu kila kitu kilikuwa state-controlled...hence mambo ya 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM' na BS nyingine kama hizo.
Je, leo hii Nyerere angekuwa yuko revered kama ilivyo sasa hivi au?
We will never know......
Yes, lakini hata Moi na Ouko, it was a more or less similar "hypothesis".Sema Tom Mboya NA Kenyatta
Kichwa hiko.enzi hizi angetokea mzee babu kipara angekomaNimependa na kufurahi kukuta uzi huu, imenisukuma ni mgoogle kumsoma tena sio vile vya shuleni enzi hizo.
Kaka endelea kutushushia mengine na ya wengine.
Kama ulikuwa kwenye kichwa changuhuyo jamaa angekuwa rais tungekuwa mbali sana, wala tusingekuwa tunachekwa na wakenya naman hii.
Kuwa 'revered' si kwasababu ya ku dominate media
Watu wanafanya reference kwa mambo aliyofanya na aliyoyaona na ku admire
Actually hiyo footage ni ya AP.....Neema kaanza kuzitoa sasa?
Yes, halafu hapo utakuta alikuwa around 40 tu. Wazee wetu hawa kwa kweli walijaaliwa sana. Sasa huyu mtukufu wetu na PhD juu lakini unaona kizungu kinavyompa shida.Aaah si tu naona mambo yanavyoenda.ukimwangalia lipumba, mrema aaahhh
wanadai mgogoro wa yanga mwaka 76 ulipandikizwa,kisa tabu mangara alikua anakusanya nyomi kuliko mfalme,hasa baada ya kumchinja mnyama nyamagana,gogoro halikupoa,'akashauriwa aanzishe timu ingne,akaanzisha pan,hakupata nyomi tenaKwa kweli....inataka kufanana na yale ya Robert Ouko na Moi wa Kenya. Madaraka matamu sana!
achana na ujinga wa kupenda lugha za watuYes, halafu hapo utakuta alikuwa around 40 tu. Wazee wetu hawa kwa kweli walijaaliwa sana. Sasa huyu mtukufu wetu na PhD juu lakini unaona kizungu kinavyompa shida.
NN, nimesoma hii clip na kufurahia sana vitu vikubwa viwili.Oscar Kambona akihojiwa baada ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964.....
Sisi [Tanzania] hatuna kabisa 'video history' ya hawa viongozi wetu wa awali.NN, nimesoma hii clip na kufurahia sana vitu vikubwa viwili.
1) Wewe kupost clip nzuri yenye maana na inayoweza kuwafikirisha wasomi na kuwapa momentum of judgement n decision katika mambo mbalimbali yahusuyo taifa
...laah basi itawapa fursa ya kujua tulipotoka miaka mitatu tu baada ua Uhuru.
Tumechoka na repetitions ya news kumhusu Makonda na wengineo wavumao siku za leo.
2) Nimefurahi kumsikia huyu mtu ambaye sikuwahi kumwona hata katika picha zaidi ya kumsikia vinywani mwa watu na anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa ufahamu na Exposure.
Thanks n Big Up.
OK.Actually hiyo footage ni ya AP.....
Sawa mkuu, nimeshaacha. Ngoja nirudi kwenye "kigogo" tu maana hata kiswahili pia sio cha kwangu.achana na ujinga wa kupenda lugha za watu