Rare footage: Foreign Minister Kambona speaks of The Nation's future

Unajua huwa najiuliza sana ni kivipi Nyerere ange-fare kwenye hizi siasa za vyama vingi na anuai na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo hivi sasa...

Manake baada ya yeye kupiga marufuku demokrasia, karibu kila kitu kilikuwa state-controlled...hence mambo ya 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM' na BS nyingine kama hizo.

Je, leo hii Nyerere angekuwa yuko revered kama ilivyo sasa hivi au?

We will never know......
kwa maandiko ya ami rajab kule raia mwema,mwalimu hakupenda kukosolewa,rejea mkutano na waandishi kule kenya na maswali ya mzambia
 
Kuwa 'revered' si kwasababu ya ku dominate media
Watu wanafanya reference kwa mambo aliyofanya na aliyoyaona na ku admire

Suala siyo la state owned media tu.

Kwenye nchi yenye mfumo wa chama kimoja ni vigumu sana kutokumtukuza kiongozi aliyepo madarakani.

Muda mwingi wa utawala wa Nyerere watu hawakuwa huru kufunguka kama walivyo huru sasa hivi.

Nyingi ya hotuba zake watu hata hatuzijui/ hatujawahu kuzisikia.

Hata ukienda YouTube utakutana na mahojiano aliyofanya na vyombo vya habari vya nje....

Sasa hivi kiongozi hawezi hata ku get away na kuchapia....case in point....'font fed'....courtesy of Magu.

Hivi ni nani angethubutu hata kumcheka Nyerere wakati wa enzi za 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti'?

Leo watu tuko huru zaidi kufunguka juu ya viongozi wetu.....suala ambalo pia linachangiwa na uwepo wa alternative media....

But still....Nyerere muda mwingi wa utawala wake hakuwa na upinzani wa aina yoyote kwa sababu yeye ndo alikuwa yeye.

So who knows....kama watu wangekuwa huru enzi zake labda perspective juu yake isingekuwa kama hii ilivyo sasa....
 
Kwa kweli....inataka kufanana na yale ya Robert Ouko na Moi wa Kenya. Madaraka matamu sana!
wanadai mgogoro wa yanga mwaka 76 ulipandikizwa,kisa tabu mangara alikua anakusanya nyomi kuliko mfalme,hasa baada ya kumchinja mnyama nyamagana,gogoro halikupoa,'akashauriwa aanzishe timu ingne,akaanzisha pan,hakupata nyomi tena
 
Oscar Kambona akihojiwa baada ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964.....


NN, nimesoma hii clip na kufurahia sana vitu vikubwa viwili.

1) Wewe kupost clip nzuri yenye maana na inayoweza kuwafikirisha wasomi na kuwapa momentum of judgement n decision katika mambo mbalimbali yahusuyo taifa

...laah basi itawapa fursa ya kujua tulipotoka miaka mitatu tu baada ya Uhuru.

Tumechoka na repetitions ya news kumhusu Makonda na wengineo wavumao siku za leo.

2) Nimefurahi kumsikia huyu mtu ambaye sikuwahi kumwona hata katika picha zaidi ya kumsikia vinywani mwa watu na anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa ufahamu na Exposure.

Thanks n Big Up.
 
NN, nimesoma hii clip na kufurahia sana vitu vikubwa viwili.

1) Wewe kupost clip nzuri yenye maana na inayoweza kuwafikirisha wasomi na kuwapa momentum of judgement n decision katika mambo mbalimbali yahusuyo taifa

...laah basi itawapa fursa ya kujua tulipotoka miaka mitatu tu baada ua Uhuru.

Tumechoka na repetitions ya news kumhusu Makonda na wengineo wavumao siku za leo.

2) Nimefurahi kumsikia huyu mtu ambaye sikuwahi kumwona hata katika picha zaidi ya kumsikia vinywani mwa watu na anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa ufahamu na Exposure.

Thanks n Big Up.
Sisi [Tanzania] hatuna kabisa 'video history' ya hawa viongozi wetu wa awali.

Nina imani watu wengi hawajui hata sauti ya hayati Kambona ilikuwa ikoje kwa sababu hawajawahi kuisikia wala kumwona akiongea popote pale.

Mfumo wa chama kimoja na ukosefu wa vyombo binafsi vya habari ulitukosesha mengi sana.
 
Back
Top Bottom