Kwa kweli....inataka kufanana na yale ya Robert Ouko na Moi wa Kenya. Madaraka matamu sana!Nahisi kama vile Nyerere hakupenda kuwa outshined/ upstaged....
Historia kama hizi...za video...zinafundisha vizuri zaidi kuliko za maandishi tu.Nimependa na kufurahi kukuta uzi huu, imenisukuma ni mgoogle kumsoma tena sio vile vya shuleni enzi hizo.
Kaka endelea kutushushia mengine na ya wengine.
Historia kama hizi...za video...zinafundisha vizuri zaidi kuliko za maandishi tu.
Kwenye video unamwona mtu jinsi alivyo...unaiona lugha yake ya mwili...unaisikia sauti yake, na kadhalika.
Nasikitika tu enzi hizo hatukuwa na stesheni za televisheni kuweza kurekodi hata matukio ya kihistoria kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Nyerere aliona jamaa watatamani kiti katika muda mfupi. Hao jamaa nao walikuwa na vision tofauti kuhusu nchiNahisi kama vile Nyerere hakupenda kuwa outshined/ upstaged....
Composed, reflects intelligence, smarter than the boss; now I understand why Kawawa came onto!!Historia kama hizi...za video...zinafundisha vizuri zaidi kuliko za maandishi tu.
Kwenye video unamwona mtu jinsi alivyo...unaiona lugha yake ya mwili...unaisikia sauti yake, na kadhalika.
Nasikitika tu enzi hizo hatukuwa na stesheni za televisheni kuweza kurekodi hata matukio ya kihistoria kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Unajua huwa najiuliza sana ni kivipi Nyerere ange-fare kwenye hizi siasa za vyama vingi na anuai na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo hivi sasa...Nyerere aliona jamaa watatamani kiti katika muda mfupi. Hao jamaa nao walikuwa na vision tofauti kuhusu nchi
Zaidi, kuzimwa kwa maasi inaonekana ni jitihada zao jambo lililowajengea 'kibri'
Akina Kambona walikuwa na 'exposure', haikuwa rahisi kuwa loyal kama akina Kawawa
Kuwa 'revered' si kwasababu ya ku dominate mediaUnajua huwa najiuliza sana ni kivipi Nyerere ange-fare kwenye hizi siasa za vyama vingi na anuai na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo hivi sasa...
Manake baada ya yeye kupiga marufuku demokrasia, karibu kila kitu kilikuwa state-controlled...hence mambo ya 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM' na BS nyingine kama hizo.
Je, leo hii Nyerere angekuwa yuko revered kama ilivyo sasa hivi au?
We will never know......
Good, tunateka pamoja ( I conquer with you!)....
This guy looked intelligent; and intellectual
.
Kwa kweli....inataka kufanana na yale ya Robert Ouko na Moi wa Kenya. Madaraka matamu sana!
kambona alipinga sera ya ujamaa na kujitegemea,akapewa wizara itakayoshughulikia hilo,akaona udwanzi,akatorokea kenya akitumia land rover ya mwingerezaNyerere hakuwapenda wasomi, NA kambona was the biggest threat he had.
Oscar Kambona akihojiwa baada ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964.....