kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 630
- 1,192
Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema.
Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani ya muhula wake wa kiuongozi.
Aisee marafiki zangu wa karibu wengi wameitwa kazini bado mimi tu naamini namimi nitafikiwa.
Kwa hili nikupongeza sana raisi wangu naamini ufalme wako utanikumbuka pia mimi mgonga ulimbo mwenye uzalendo uliotukuka.
Ninasema asante sana raisi wangu