Rais wangu Magufuli trilioni 6 hizi hapa

Siyo kwamba naunga mkono ya Zanzibar, la hata kidogo ila sipendi kabisa nchi yangu na serikali yangu kuendelea kuishi kwa utegemezi.

Halafu serikali ianzishe kodi itakayojulikana lwa jina "Real Independence" kodi hii ikusanywe toka kwenye magari yote nchi nzima, na itengenezewe risiti yake, mfano kila gari ilipe Tsh.10000 kwa mwaka. Inamaana tukipata magari 1000000 yaani ni zaidi ya trioni 6, sasa hapo bado tutakuwa na haja ya MCC au mchina?

Katika kutafakari usiku na mchana ni nini serikali ifanye ili kuongeza mapato na kufidia na kuiepuka hela ya wanyonyaji kwa mgongo wa misaada. Huu huu ndo ushauri wangu.

Serikali ipitie upya idadi ya nyumba zote nchi nzima katika miji na majiji yote na kukusanya kodi toka kwa wenye nyumba. Nasema hivyo kwasababu wapanga wa vyumba vya kuishi wanalipa pesa nyingi mno ambayo haina makato ya TRA wala ushuru wa aina yeyote na hivyo kuifanya serikali kupata hasara ya matrion ya shilingi kila mwaka.
Mfano: siku hizi kila chumba katila miji mikuu ni Tsh.50,000 kila mwezi na unatakiwa kulipia walau kuanzia miezi 6=300, 000 inamaana kadri mtu anakuwa na vyumba vingi ndivyo atakavyolipia. Sasa mimi binafsi ni mzalendo kwelikweli na ninatamani sana nchi yetu iondokaena unyonyaji unaofanya naviongozi wezi wakishirikiana na wazungu na wachina.

Napekeza hivi, serikali ikusanye 10% toka kwenye nyumba zote ambazo wapangaji wake wanalipia 50,000 kila mwezi. Kwa maana hiyo serikali ifanye sensa ya nyumba zote kwenye miji na majiji, ikipata hata nyumba 1,000,000 tu halafu ukachukua 5000 kwa kila chumba ni pesa myingi kuliko hata hiyo ya mcc. Hebu tufanye hii hesabu

5000x1000000=5000000000 hapo inamaana serikali itapata hicho kiasi kwa kila mwezi. inamaana kwa mwaka serikali itapata kiasi kisichopungua trion 6. yaani huu utakuwa ni mwanzo mzuri kabisa, na wananchi naamini wako tayari kwa hili kuwa Raisi aliyeko madaraka kwakweli kaonyesha ananiya ya kweli kuifanya Tz ijitegemee. Nadhani Wahusika watapata taarifa hii

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu kwa mjadala, kama mathematics haijakaa sawa ilekebishwe tu maana hamna namna, ila ni katika kutafuta ufumbuzi wa nini kifanyike ili siku moja nasisi watz tuone fahari na kuheshimika duniani.

Ni uzi wa maana kabisa....nakuunga mkono kwa hoja ingawa viwango ulivyo-propose vinaweza vikawa vikubwa mno...Lakini pamoja na yote hoja yako ni ya nguvu. CONGRATULATIONS, comrade... Ndivyo tunavyotakiwa kufanya katika kuipigania nchi yetu, na siyo kila wakati kumlaumu Rais na serikali yake, kama wanavyofanya baadhi ya watu.
 
Usisahau kodi ya kichwa. Kila MTU mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 alipie shs 1000 kwa mwezi kama ilivyokuwa Wakati wa ukoloni.

Wore tutakubali maendeleo kwa kasi yatapatikana.
Tunakatwa kodi kila kitu tunachotumia alf unataka tuanze tena kukamatana barabaran kwa kodi ya kichwa, hilo si wazo jema
 
Waweke kodi na wale wa instagram ukipost pic ukiwa na like nyingi unakatwa kodi ukitangaza bidhaa yako kwenye mtandao basi kodi ikuusu wale wanaojiuza mitandaoni kama kina gigy_money sorry kama kuna mteja wake humu basi akatwe kodi pia mana hili serikali awajaliona kuzuia malaya mtaani ni shaka wakina wema wanataka kujiongea mapato kwa wao wanaotumia mitandao kujiuza ahahahahaha kwel taifa itapata mapato ya kutosha ukipinga basi we unaishi nyumba ya kupanga
 
Siyo kwamba naunga mkono ya Zanzibar, la hata kidogo ila sipendi kabisa nchi yangu na serikali yangu kuendelea kuishi kwa utegemezi.

Halafu serikali ianzishe kodi itakayojulikana lwa jina "Real Independence" kodi hii ikusanywe toka kwenye magari yote nchi nzima, na itengenezewe risiti yake, mfano kila gari ilipe Tsh.10000 kwa mwaka. Inamaana tukipata magari 1000000 yaani ni zaidi ya trioni 6, sasa hapo bado tutakuwa na haja ya MCC au mchina?

Katika kutafakari usiku na mchana ni nini serikali ifanye ili kuongeza mapato na kufidia na kuiepuka hela ya wanyonyaji kwa mgongo wa misaada. Huu huu ndo ushauri wangu.

Serikali ipitie upya idadi ya nyumba zote nchi nzima katika miji na majiji yote na kukusanya kodi toka kwa wenye nyumba. Nasema hivyo kwasababu wapanga wa vyumba vya kuishi wanalipa pesa nyingi mno ambayo haina makato ya TRA wala ushuru wa aina yeyote na hivyo kuifanya serikali kupata hasara ya matrion ya shilingi kila mwaka.
Mfano: siku hizi kila chumba katila miji mikuu ni Tsh.50,000 kila mwezi na unatakiwa kulipia walau kuanzia miezi 6=300, 000 inamaana kadri mtu anakuwa na vyumba vingi ndivyo atakavyolipia. Sasa mimi binafsi ni mzalendo kwelikweli na ninatamani sana nchi yetu iondokaena unyonyaji unaofanya naviongozi wezi wakishirikiana na wazungu na wachina.

Napekeza hivi, serikali ikusanye 10% toka kwenye nyumba zote ambazo wapangaji wake wanalipia 50,000 kila mwezi. Kwa maana hiyo serikali ifanye sensa ya nyumba zote kwenye miji na majiji, ikipata hata nyumba 1,000,000 tu halafu ukachukua 5000 kwa kila chumba ni pesa myingi kuliko hata hiyo ya mcc. Hebu tufanye hii hesabu

5000x1000000=5000000000 hapo inamaana serikali itapata hicho kiasi kwa kila mwezi. inamaana kwa mwaka serikali itapata kiasi kisichopungua trion 6. yaani huu utakuwa ni mwanzo mzuri kabisa, na wananchi naamini wako tayari kwa hili kuwa Raisi aliyeko madaraka kwakweli kaonyesha ananiya ya kweli kuifanya Tz ijitegemee. Nadhani Wahusika watapata taarifa hii

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu kwa mjadala, kama mathematics haijakaa sawa ilekebishwe tu maana hamna namna, ila ni katika kutafuta ufumbuzi wa nini kifanyike ili siku moja nasisi watz tuone fahari na kuheshimika duniani.
Wazo jema.
Ni jukumu la mamlaka kuangalia kama wazo linafaa na namna ya kulitekeleza kwa ufanisi.
Siku zote nmekua nikisema tuachane na mawazo ya misaada ya hawa wakoloni.
Badala ya muda wote kuelezea kwamba msaada huu ungefanya 1,2,3 na kundelea wakati haupo ni none sense.
Ni jukumu letu sote kuangalia vyanzo vya mapato na kuijulisha serikali kupitia mijadala ya wazi namna ya kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa tulizonazo badala muda mwingi kuilaumu serikali kwa kukosa misaada toka kwa wakoloni.
Wazo lako ni jema sana, keep it up.
Nategemea wadau wengi watajitokeza wenye mawazo chanya kama yako.
Rais magufuli kaonyesha dhamira yake kwamba anapenda nchi iachane na utegemezi, tumuunge mkono na si kukatisha tamaa juhudi Zake,
Nawasilisha.
 
Ni wazo zuri sana mimi ni muumini mzuri sana wa kulipa kodi. Kodi ikikusanywa na utawala ukawa bora tunaweza kuwa a welfare state jins zilivyo nch za skendinevia
 
Hii jambo siyo kwamba halipo kisheria. La hasha! Kuna kodi ya mapato (rental property income tax, 10%-30%); stamp duty, 2%; na property tax, 0.2% kwa mwaka; zinazotakiwa zilipwe kutokana nyumba/vyumba vya kupanga. Tatizo lililopo ni ufisadi unaolelewa na katiba na sheria mbovu zinazoruhusu kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi katika utendaji serikalini. Viongozi wakuu serikalini (walioko madarakani na wastaafu), watendaji wakuu na wabunge karibu wote wana nyumba za kupangisha na kwa hivyo msukumo wa kukusanya kodi katika eneo hili haupo. (Rasimu ya Warioba ilipendekeza muarubaine wa hili tatizo). Kukusanya haya mapato ni rahisi hata kuliko ilivyo kwa makonteina. Kinachotakiwa ni kuwa na property database kwa kila eneo na kuwashirikisha viongozi wa serikali za mitaa katika shughuli hii. Hili tatizo lipo pia kwenye sekta ya mawasiliano (makampuni ya simu). Lazima miiko ya uongozi iwepo katika katiba na sheria ili angalau tuweze kukusanya kodi katika kiwango cha 25% ya pato la taifa (GDP).
 
Siyo kwamba naunga mkono ya Zanzibar, la hata kidogo ila sipendi kabisa nchi yangu na serikali yangu kuendelea kuishi kwa utegemezi.

Halafu serikali ianzishe kodi itakayojulikana lwa jina "Real Independence" kodi hii ikusanywe toka kwenye magari yote nchi nzima, na itengenezewe risiti yake, mfano kila gari ilipe Tsh.10000 kwa mwaka. Inamaana tukipata magari 1000000 yaani ni zaidi ya trioni 6, sasa hapo bado tutakuwa na haja ya MCC au mchina?

Katika kutafakari usiku na mchana ni nini serikali ifanye ili kuongeza mapato na kufidia na kuiepuka hela ya wanyonyaji kwa mgongo wa misaada. Huu huu ndo ushauri wangu.

Serikali ipitie upya idadi ya nyumba zote nchi nzima katika miji na majiji yote na kukusanya kodi toka kwa wenye nyumba. Nasema hivyo kwasababu wapanga wa vyumba vya kuishi wanalipa pesa nyingi mno ambayo haina makato ya TRA wala ushuru wa aina yeyote na hivyo kuifanya serikali kupata hasara ya matrion ya shilingi kila mwaka.
Mfano: siku hizi kila chumba katila miji mikuu ni Tsh.50,000 kila mwezi na unatakiwa kulipia walau kuanzia miezi 6=300, 000 inamaana kadri mtu anakuwa na vyumba vingi ndivyo atakavyolipia. Sasa mimi binafsi ni mzalendo kwelikweli na ninatamani sana nchi yetu iondokaena unyonyaji unaofanya naviongozi wezi wakishirikiana na wazungu na wachina.

Napekeza hivi, serikali ikusanye 10% toka kwenye nyumba zote ambazo wapangaji wake wanalipia 50,000 kila mwezi. Kwa maana hiyo serikali ifanye sensa ya nyumba zote kwenye miji na majiji, ikipata hata nyumba 1,000,000 tu halafu ukachukua 5000 kwa kila chumba ni pesa myingi kuliko hata hiyo ya mcc. Hebu tufanye hii hesabu

5000x1000000=5000000000 hapo inamaana serikali itapata hicho kiasi kwa kila mwezi. inamaana kwa mwaka serikali itapata kiasi kisichopungua trion 6. yaani huu utakuwa ni mwanzo mzuri kabisa, na wananchi naamini wako tayari kwa hili kuwa Raisi aliyeko madaraka kwakweli kaonyesha ananiya ya kweli kuifanya Tz ijitegemee. Nadhani Wahusika watapata taarifa hii

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu kwa mjadala, kama mathematics haijakaa sawa ilekebishwe tu maana hamna namna, ila ni katika kutafuta ufumbuzi wa nini kifanyike ili siku moja nasisi watz tuone fahari na kuheshimika duniani.

Mawazo yako siyo mabaya kuongeza wigo wa kupata pesa lakini hizo hesabu zako zina walakini. Hivi wewe kweli unajua maana ya Trillion au unaaandika tu?

Hizo hesabu zako zote zimeishia kwenye billions. Kama hapo unaposema 5000 x 1000000 = 5 billion tu!! Kama ulitaka kupata Trillion 5 basi itabidi ukusanye hizo 5000 kwenye nyumba 1000 000 000 (billion 5)!!

Sasa nafikiri by now utakuwa unmejua ni pengo gani limepotea MCC na ni jinsi gani ilivyo vigumu kuliziba!!
 
Hivi kama kweli kila Mtanzania ana akili na maarifa kiasi hiki basi ni kwa nini tunakuwa masikini!?
Sasa ni hivi, unamkuta mtu anafundisha biashara zaidi ya miaka 20 lakini yeye binafsi hana hata TIN wala hajawahi kufungua genge. Matokeo yake ni kuendelea kujiaminisha kuwa mawazo ya kwenye madesa ndio njia pekee ya mafanikio huku tukisahau kuwa kitendo (action) kimoja tu kina matokeo makubwa zaidi ya maneno milioni kumi!
We just talk, talk, talk ......and talk! Eti kuanzia leo tuanze kujitegemea, waulize wanaojitegemea iliwatumia muda gani kuanzia siku walioamua kujitegemea!
Hebu angalia wanaotuambia story za kujitegemea, wengi baba zao ndio walimfanyia unafiki Mwalimu aliyekuwa na nia ya dhati ya kujitegemea na hapa tuna kizazi chao cha pili, wote wanaishi kwa kutegemea fitina za siasa na pensheni na kizazi cha tatu kimeshaunganishwa kwenye huo mkondo. 99% ni mijizi ya kutisha!
 
nyumba au makazi siyo vya kukomoa!
zipo baadhi ya kodi inabidi zirudishwe tra,halmashauri zinyanganywe!
 
Tungekuwa tunasimamia rasilimali vzuri za madini gesi huu mzigo usingemwangua mwananchi maskini mana kila kitu ghali na nyumba kwa Dar ni expensive hafu mzigo utakuwa kwa mpangaji. Kodi muhimu ila kukurupuka tu na kuacha utegemezi ngumu thou ni muhimu kujitegemea
 
Siyo kwamba naunga mkono ya Zanzibar, la hata kidogo ila sipendi kabisa nchi yangu na serikali yangu kuendelea kuishi kwa utegemezi.

Halafu serikali ianzishe kodi itakayojulikana lwa jina "Real Independence" kodi hii ikusanywe toka kwenye magari yote nchi nzima, na itengenezewe risiti yake, mfano kila gari ilipe Tsh.10000 kwa mwaka. Inamaana tukipata magari 1000000 yaani ni zaidi ya trioni 6, sasa hapo bado tutakuwa na haja ya MCC au mchina?

Katika kutafakari usiku na mchana ni nini serikali ifanye ili kuongeza mapato na kufidia na kuiepuka hela ya wanyonyaji kwa mgongo wa misaada. Huu huu ndo ushauri wangu.

Serikali ipitie upya idadi ya nyumba zote nchi nzima katika miji na majiji yote na kukusanya kodi toka kwa wenye nyumba. Nasema hivyo kwasababu wapanga wa vyumba vya kuishi wanalipa pesa nyingi mno ambayo haina makato ya TRA wala ushuru wa aina yeyote na hivyo kuifanya serikali kupata hasara ya matrion ya shilingi kila mwaka.
Mfano: siku hizi kila chumba katila miji mikuu ni Tsh.50,000 kila mwezi na unatakiwa kulipia walau kuanzia miezi 6=300, 000 inamaana kadri mtu anakuwa na vyumba vingi ndivyo atakavyolipia. Sasa mimi binafsi ni mzalendo kwelikweli na ninatamani sana nchi yetu iondokaena unyonyaji unaofanya naviongozi wezi wakishirikiana na wazungu na wachina.

Napekeza hivi, serikali ikusanye 10% toka kwenye nyumba zote ambazo wapangaji wake wanalipia 50,000 kila mwezi. Kwa maana hiyo serikali ifanye sensa ya nyumba zote kwenye miji na majiji, ikipata hata nyumba 1,000,000 tu halafu ukachukua 5000 kwa kila chumba ni pesa myingi kuliko hata hiyo ya mcc. Hebu tufanye hii hesabu

5000x1000000=5000000000 hapo inamaana serikali itapata hicho kiasi kwa kila mwezi. inamaana kwa mwaka serikali itapata kiasi kisichopungua trion 6. yaani huu utakuwa ni mwanzo mzuri kabisa, na wananchi naamini wako tayari kwa hili kuwa Raisi aliyeko madaraka kwakweli kaonyesha ananiya ya kweli kuifanya Tz ijitegemee. Nadhani Wahusika watapata taarifa hii

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu kwa mjadala, kama mathematics haijakaa sawa ilekebishwe tu maana hamna namna, ila ni katika kutafuta ufumbuzi wa nini kifanyike ili siku moja nasisi watz tuone fahari na kuheshimika duniani.
Serikali imejaa wataalam wacha tuone ubunifu wao bila kumwumiza mwananchi wa kawaida,zama za MAGU ni tofauti na zama zingine wewe fanya kazi tu utaona matokeo yake.
 
mkuu hapo uko sawa kabisa,
nakuunga mkono Asilimia nyingi.
Kabla ya nyumba tunaweza kuanza na FRAME ZA BIASHARA.
haiwezekani tra wanakamata wafanyabiashara wakwepa kodi walio kwenye frame wakati hata aliyejenga hiyo frame anafanya biashara. KUNA EPIDEMIC ya fremu nchi nzima kila kona.

Pili Madalali wan nyumba nao umewasahau, kama vipi wahalalishwe maana kwa jiji kama dsm kupata nyumba mwenyewe ni kazi. Pia katika ile 10% WANAYOPATA KUNA TAX COMPONENT AMBAYO HUWA HATUCHUKUI.

Inaweezekana hata kama NCHI HAIKO PLANNED. tOfauti ya tanzania na nchi nyingi za africa, Tunajuana hadi uchochoroni. Serikali imetapakaa hadi ngazi ya balozi. Hakuna sehemu ambapo pamerukwa. Tukitumia hii Pattern tutawafikiaw wengi tu.

Ila umakini uwepo katika kupanga viwango vya kodi, na kumcontrol mwenye nyumba asijeakataka kuitoa kwa mpangaji.
 
Inaonekana wee mwenyewe hata trilioni huijui wewe hilo hesabu lako hapo juu linaleta vibilioni vichache sana. Ndo ujue hela tuliyokasa ni nyingi. Hata upigeje hesabu bado hiyo hela haifiki...
 
*magari yote 10000, ya abiria 20000/, ya mizigo 100000/-haya yanatuharibia sana barabara.
*Bajaj 3000
*pikipiki 2000
* kodi ya kichwa kwa kila mwenye miaka 25. 1000/-
*flat rates nyumba zote 20000/-,za kuanzia ghorofa 3. 50000/- p.a.
****************
KODI HII IPATIWA JINA MAALUM
IWE HAINA UHUSIANO NA KODI ZA TRA. IPEWE SLOGAN YA, """IVUSHE TANZANIA 2025 BILA UTEGEMEZI"""
 
Bila kusahau vigoracery vya ma ex-barmaid vichangie angala kwa mwezi 10,000 5000.
 
Back
Top Bottom