Rais wa Malawi apinga utabiri wa TB Joshua kuhusu kifo chake, amuita muongo

Kwakifupi nilitaka kuwajulisha kuhusu mapepo kuna aina nyingi ya mapepo ila kuna hili pepo lautambuzi ndo wengi kutumia kwakutambua wewe ukoja na maisha yako inshort your future na wachunhaji wengi kutumia hilipepo pia waganga kwa sasa imani yako ndo itakuponya kama nabii kaona kwamba huyu raisi atakufa nidhahiri alishatambua anachotakiwa nikuzama kwenye maombi nakukemea pepo lamauti then shetani ataona aibu Mungu wetu nimwenye nguvu
Muthalika nakutabilia hiyo siku hutokufa ila kama uliingia kiapo na watu wakuzimu na hukutimiza mashaliti utakula kwako shika Sana andiko na omba sana
 
rais hana point yoyote, unless hizi zisifiwe taarifa za kweli. na kusema kwamba kwa nini TB Joshua hakuona kama jengo lake litaanguka na kuua watu hayo ni mambo ya Mungu, nabii kama nabii anapokea kutoka kwa Mungu wala nabii siyo anayetoa unabii, (prophecy is generated by God not by man) nabii ni chombo kinachotumiwa na mwenye chombo ama kufunuliwa au kufichwa jambo. Nakumbuka nabii Eliya aliua manabii 400 wa uongo/wa mungu baal waliokuwa wanamtabiria mfalme Ahabu na malkia nyakati zile, lakini nabii yule yule wa kweli alitishwa na mwanamke tu (malkia Yezebel) ya kuwa miungu wa yule mama wamtende nabii kama alivyowatenda wale manabii 400 wa uongo. Na Eliya alivunjika moyo na akakimbia kabisa na kuona kuwa Mungu amemwacha, lakini hapo nyuma manabii wengi tu wa Mungu walikuwa wamechinjwa na huyo mama, je wao hawakuona hayo................???????????? wengine walienda kujificha mapangoni ili wasiuawe na yule mama, je iliwaondolea wao kuwa manabii wa Mungu........?????????
Mungu ndiye ana hukumu ya kweli, na kama ametabiriwa hivyo ni bora kunyenyekea na kumwuliza Mungu rehema badala ya kutunishiana misuli kwenye media na kuchekelea ilihali mambo haya ya kutabiriwa yamewagharimu wengi tu kwa kupuuza wanapopelekewa unabii...........................

Huyo TB Joshwa ni mnajimu siyo nabii. Wa-Tz msisahau aĺimtabiria Lowasa angekuwa Rais wa Tz. Jem leo Lowasa yuko wapi!? Mutharika yuko sahihi; labda kama mnajimu huyo, kama walivyokuwa wanajimu wa Farao wakati wa Musa, atumie nguvu za baba yake wa uongo (Shetani) amroge. Mutharika anatakiwa asimame imara upande wa Mungu wa kweli.
 
mkiwa mnachangia msisahau kutafakari kuwa pia hiyo tarehe tajwa ni siku ya?.......Duniani☺
 
ila rais ana point! kwanini hakuona tukio la jengo lake ?

huenda alioteshwa ndotoni na hakutaka kulizungumzia jambo akabaki nalo moyoni hadi litimie na kama angezungumzia hilo basi watu wangeacha mara moja kuhudhuria kanisani kwake ili kuepuka kifo
 
Tukiweka pembeni mambo ya utabiri, nimeona kuna fursa ya wakulima wa mazao ya chakula wa mikoa ya kanda ya Nyanda za Juu Kusini kufanya biashara nchini Malawi, ukizingatia JPM aliongea kwenye kampeni zake kuwa ataruhusu kuuza mazao nje ya nchi
 
Kwakifupi nilitaka kuwajulisha kuhusu mapepo kuna aina nyingi ya mapepo ila kuna hili pepo lautambuzi ndo wengi kutumia kwakutambua wewe ukoja na maisha yako inshort your future na wachunhaji wengi kutumia hilipepo pia waganga kwa sasa imani yako ndo itakuponya kama nabii kaona kwamba huyu raisi atakufa nidhahiri alishatambua anachotakiwa nikuzama kwenye maombi nakukemea pepo lamauti then shetani ataona aibu Mungu wetu nimwenye nguvu
Muthalika nakutabilia hiyo siku hutokufa ila kama uliingia kiapo na watu wakuzimu na hukutimiza mashaliti utakula kwako shika Sana andiko na omba sana

bado sijakuelewa mkuu
 
Oh Lord! tabiri zime advance ,tumefikia hatua ya kusema fulani atakufa kesho ? Ila habari zenyewe hazija thibitishwa kama kasema Joshua
 
sijajua uelewa wako umeegemea upande upi...............ila ninachofahamu mimi ni kwamba nabii anapokea ujumbe na kuutoa kama alivyopokea kutoka kwa Mungu na jambo hilo ni lazima litokee, na wakati mwingine linaweza lisitokee kulingana na mhusika anavyonyenyekea, rejea habari ya Mfalme Hezekia alipotabiriwa na nabii Isaya kwamba atakufa(Isaya 38:1-). Kwa habari ya sifa, na kama TB Joshua ni nabii wa kweli au wa uongo mie hilo halinihusu, linamhusu Mungu na mhusika mwenyewe(TB Joshua) ila mie napenda kufuatilia iwapo lililotabiriwa litatimia au la.
Nilieleza kutokana na uelewa wangu kutoka kwa manabii waliotangulia, dhihaka za kama wewe ni nabii jiponye nafsi yako zimekuwepo sana hata Yesu aliambiwa haya haya. Kwamba anapwaya kwenye mizani yako huo unabaki kuwa msimamo wako lakini katika hali halisi mie sijaona hata basi angalau nabii wa kweli anayeweza kututabiria au akasimama kwa ujasiri na kutabiri jambo la kitaifa/kimataifa kama huyu usiyempenda wewe.....................................NARUDIA TENA, KWAMBA YEYE NI WA KWELI AU WA UONGO MIMI HILO HALINIHUSU, LITAJULIKANA SIKU ILE BWANA MWENYE NYUMBA ATAKAPORUDI................................
mkuu huhitaji kujua kama ni uongo au ukwel unabii wake, soma biblia inatoa sifa, tena amesema akiwepo nabii kwenu ntajiinua kwake, na ki ukwel joshua hawezi kuwa nabii, hajawahi kuwa na wala hatakuwa nabii, may b wa uongo
 
rais hana point yoyote, unless hizi zisifiwe taarifa za kweli. na kusema kwamba kwa nini TB Joshua hakuona kama jengo lake litaanguka na kuua watu hayo ni mambo ya Mungu, nabii kama nabii anapokea kutoka kwa Mungu wala nabii siyo anayetoa unabii, (prophecy is generated by God not by man) nabii ni chombo kinachotumiwa na mwenye chombo ama kufunuliwa au kufichwa jambo. Nakumbuka nabii Eliya aliua manabii 400 wa uongo/wa mungu baal waliokuwa wanamtabiria mfalme Ahabu na malkia nyakati zile, lakini nabii yule yule wa kweli alitishwa na mwanamke tu (malkia Yezebel) ya kuwa miungu wa yule mama wamtende nabii kama alivyowatenda wale manabii 400 wa uongo. Na Eliya alivunjika moyo na akakimbia kabisa na kuona kuwa Mungu amemwacha, lakini hapo nyuma manabii wengi tu wa Mungu walikuwa wamechinjwa na huyo mama, je wao hawakuona hayo................???????????? wengine walienda kujificha mapangoni ili wasiuawe na yule mama, je iliwaondolea wao kuwa manabii wa Mungu........?????????
Mungu ndiye ana hukumu ya kweli, na kama ametabiriwa hivyo ni bora kunyenyekea na kumwuliza Mungu rehema badala ya kutunishiana misuli kwenye media na kuchekelea ilihali mambo haya ya kutabiriwa yamewagharimu wengi tu kwa kupuuza wanapopelekewa unabii...........................
Ushabiki maandazi huu
 
Rais wa Malawi, Peter Mutharika wikendi iliyopita alimshukia muhubiri maarufu nchini Nigeria, T.B Joshua wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) kufuatia taarifa kuwa mhubiri huyo amemtabiria siku ya kifo chake.

Taarifa ambazo hazijathibitishwa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii, zinadai kuwa T.B Joshua ametabiri kuwa Rais huyo wa Malawi pamoja na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe watafariki kabla ya April 1 mwaka huu.

Akiongea kupitia Kituo cha Runinga cha Taifa hilo, Rais Mutharika alisema kuwa mhubiri huyo ni muongo na kwamba wakati huu utabiri wake utashindwa, tofauti na utabiri alioutoa mwaka 2012 wa kifo cha kaka yake uliofanikiwa.

“Ngoja nikueleze Joshua… utashindwa. Ulichokifanya mwaka 2012 hakitatokea tena mwaka huu,” alisema Mutharika.

Mwaka 2012, T.B Joshua alitabiri kuwa kifo cha rais mmoja wa Kusini mwa Afrika ambaye hakumtaja jina, lakini kaka yake rais wa sasa, ambaye alikuwa rais wa Malawi wakati huo, Bingu Mutharika alifariki ndani ya kipindi kilichotabiriwa.

Rais huyo wa Malawi alienda mbali na kueleza kuwa kama kweli T.B Joshua ni nabii anayeona matukio ya mbele, kwanini alishindwa kuona tukio la kuanguka kwa jengo la kanisa lake jijini Lagos mwaka 2014 lililochukua uhai wa watu 116.

“Kwanini hakuona tukio hilo baya? Hii inaonesha kuwa ni muongo. Anataka tu kujipatia fedha,” alisema Rais Mutharika.
========================

Malawian President Peter Mutharika was Saturday in political battle mood, taking on the opposition, Nigerian famous Prophet TB Joshua and the media telling them he is not resigning or dying.

Speaking at Dae Yang Lukes premises in Lilongwe which he had temporary turned into a battle field, Mutharika said he is not going anywhere despite a campaign to force him resign because of persistent food shortage and economic malaise facing the nation.

“Some people want to chase me away, they want me to resign so that they can take over the government through the back door because they know they will not defeat me at the ballot box in 2019.

“ Let me tell you, am not going anywhere, am not resigning,” said 76-year-old President Mutharika.

He was speaking during the opening of a teaching university hospital.

Mutharika warned the opposition not to dare bring a bill in parliament that would trim his powers as Republican President saying he would veto it.

“Don’t waste your time, I will veto It, ” said Mutharika seemingly losing his cool.

He said the ruling Democratic Progressive Party (DPP) is a progressive party which is tackling problems facing the country without finger pointing.

Turning to the Nigeria prophet TB Joshua who had earlier made a prophecy that many interpreted that it may mean Mutharika or Zimbabwe President Robert Mugabe would die by April 30, the Malawi President, flanked by his second wife Gertrude and minister of Health Peter Kumpalume, said the prophet was “crooked “ saying he raises money through “false” prophecies.

“Let me tell TB Joshua and your sisters (, you will fail. What you did in 2012, ( accurately prophesying the death of Bingu wa Mutharika), will not happen [this time around],” he said.

Mutharika said if Nigeria’s TB Joshua is a real prophet of his own class, why did he fail to prophesy the fall of his hotel that killed 90 people.

“I am here as President up to 2024. In 2029 (when my term expires) I will campaign for a DPP candidate,” said the President.

Mutharika also stressed that he is not dying soon.

He said the opposition should not start celebrating his death as they did with Bingu when they allegedly bought cattle and rice for partying following his sudden death.

Mutharika did not spare the media, especially columnists whom he accused of deliberately stalking him for a fight.

“For once, let me agree with Joyce Banda when she said she no longer read Malawi newspapers. I too stopped reading Malawi newspapers from January,” said Mutharika.

He said there was no way the government can fall off because of food scarcity, saying he has been assured by Admarc general manager that maize trucks are now entering the country from Zambia saying there is now plenty food in the country.

“As I said before, I will never leave you alone, I will die here. No one intimidates Peter Mutharika,” he said defiantly.

On the Dae Yang Teahing University Hospital, he said it will help the country save forex as country referrals are made to South Africa or India.

Mutharika said he has over 150 requests from people to have their loved ones referred abroad for specialised treatment but said the government cannot afford.

He said after completion of the teaching hospital construction, complicated diseases like heart diseases and cancer would be treated there.

The opposition, TB Joshua and the columnists are yet to respond.

Source: NyasaTimes

Kufa mchezo usicheze na kifo ban!!
 
Kama ni habari y akweli, huyo wa malawi ameona muda umefika hajafa?

Watu wengine bwana, sijui namna gani tu. Huwezi kushindana na nguvu usiyoijua ama iliyojuu ya uwezo wako. Kama Mutharika angelikuwa na Mungu, alipashwa kuchukua hatua moja muhimu lakini si hii namna ingawa sijui unabii kam aumetoka umesema namna gani.
Kuna umuhimu wa shule/vyuo vyetu kuacha kukaririsha watu na kuwafundisha kufikiri. Watu/wanafunzi wafundishwe rational thinking, logical reasoning, cause and effect, philosophy na mengineyo yanayofungua akili za watu badala ya kuamini abhrakhdabra za watu kama huyo TB Joshua.
 
Back
Top Bottom