Rais wa Malawi apinga utabiri wa TB Joshua kuhusu kifo chake, amuita muongo

Kama pepo inabidi kumuelewa nabii kama Joshua na anaofanana nao naomba samahani sana kwa Mungu wangu kua mimi siwezi kwenda uko maana sijawahi kumuelewa hata siku moja namuona kama mtu wa shiriki tu na mpigaji nahisi pepo nimepishana nayo mapema sana ntajiendea the other side,imani yangu itabaki ile ya kale na mafundisho yake hawa waliokuja na mbwembwe kama Mzee wa Upako,Gwajima and the like waende na pepo yao.
Tena mimi bora nimuamini mwanasiasa kama Mrema au Makonda kuliko TB Joshua ambae kakomaa kutabiri mabalaa tu alafu macho yake yalishindwa kuona kinachoendelea kwenye pua yake yaani Mungu wake akamkaushia kabisa kumuotesha kua mjengo utaporomoka kibwege vile,mimi hata wanaomuamini uyu jamaa uwa sitaki kabisa waniambukize janga lako kuna swahiba angu alienda Nigeria kabisa kumfuata akarudi na mafuta yake sijui yanaitwaje nikamuambia aishie nayo uko uko kwake kwangu marufuku.
 
rais hana point yoyote, unless hizi zisifiwe taarifa za kweli. na kusema kwamba kwa nini TB Joshua hakuona kama jengo lake litaanguka na kuua watu hayo ni mambo ya Mungu, nabii kama nabii anapokea kutoka kwa Mungu wala nabii siyo anayetoa unabii, (prophecy is generated by God not by man) nabii ni chombo kinachotumiwa na mwenye chombo ama kufunuliwa au kufichwa jambo. Nakumbuka nabii Eliya aliua manabii 400 wa uongo/wa mungu baal waliokuwa wanamtabiria mfalme Ahabu na malkia nyakati zile, lakini nabii yule yule wa kweli alitishwa na mwanamke tu (malkia Yezebel) ya kuwa miungu wa yule mama wamtende nabii kama alivyowatenda wale manabii 400 wa uongo. Na Eliya alivunjika moyo na akakimbia kabisa na kuona kuwa Mungu amemwacha, lakini hapo nyuma manabii wengi tu wa Mungu walikuwa wamechinjwa na huyo mama, je wao hawakuona hayo................???????????? wengine walienda kujificha mapangoni ili wasiuawe na yule mama, je iliwaondolea wao kuwa manabii wa Mungu........?????????
Mungu ndiye ana hukumu ya kweli, na kama ametabiriwa hivyo ni bora kunyenyekea na kumwuliza Mungu rehema badala ya kutunishiana misuli kwenye media na kuchekelea ilihali mambo haya ya kutabiriwa yamewagharimu wengi tu kwa kupuuza wanapopelekewa unabii...........................
mkuu unamfaham maana ya NABII, na unajua sifa za nabii? unajua kwa nn manabii walikuwepo duniani?

sina uhakika kama josua ni nabii kwa kuwa ukimpima kwenye mizan ya unabii, si tu kuwa anapwaya ila hata sifa moja hana, ila naweza kuwa nabii wa uongo, anaetumia nguvu za giza kuwahadaa wanadam, na hyo roho ishindwe kabisa ktk jina LA YESU KRISTO ALIE HAI...
 
Kama ni habari y akweli, huyo wa malawi ameona muda umefika hajafa?

Watu wengine bwana, sijui namna gani tu. Huwezi kushindana na nguvu usiyoijua ama iliyojuu ya uwezo wako. Kama Mutharika angelikuwa na Mungu, alipashwa kuchukua hatua moja muhimu lakini si hii namna ingawa sijui unabii kam aumetoka umesema namna gani.
njia moja wapo ya kuupinga uongo ni kuukataa, ujue watu wengi wakiambiwa uongo, na huo uongo ukachwa bila kukanushwa huo uongo mwisho utakuwa kweli, hyo joshua hajawahi kuwa nabii, si nabii na wala hana sifa ya kuwa nabii,

bahati mbaya, kunawatu ni wasomi huwa wanafunika uso wao na masikio wasisikie hli... token kwake hyo ni adui mkubwa
 
hafi wala ni hivi kwanini mungu hakutupa huu uwezo wa kutambua tunaondoka lini ili tajiachie huyu joshua anajaje nadhani ni mchawi na ni nabii wa urongo
 
Waarabu wa Pemba, wanafahamiana huenda wanashare hizo society za siri wanakochukua nguvu za giza.
 
99
hyo joshua ni mwongo, kama shetan alivyo Muongo, hajawahi kuwa mkweli, ila anaudanganya ulimwengu apate watu wa kwenda nao moton, ahindwe kabisa katika jina La YESU..
Zimeba99ki wiki 2 tu mkuu.
Tutajua nani muongo kati ya Joshua au Mutharika, Muda huwa haudanganyi
 
Daaah! Kweli hii lazima awe Mkali kwamba ndo anavuta pumzi ya mwisho, na akikumbuka kwamba kuna moto wa milele
 
Daaah! Kweli hii lazima awe Mkali kwamba ndo anavuta pumzi ya mwisho, na akikumbuka kwamba kuna moto wa milele
 
Nabii wapiii...mzee wa matambiko huyoo...ila watu sijui vp..??
Mnaamin kirahisi rahsi.sana,huyo mzee wa matambiko kashindwa kutumia utabiri wake kuwasaidia wananch wake kutoka na issue ya boko haramu....mamia ya girls mpk sasa hawajapatkana....alafu anaanza kuongea upuuzi kwa watu wasio muhusu na jambo lisilo la msingi.....ndio ya kupigwa shaba za kichwa hayaaa
 
Yaani TB joshua yeye anaona vifo ila hana plan ya kuvizuia manake ni muongo..kifo ni mpango wa shetani..naamini huyu TB siku siku zake zz kudanganya zinaishia ishia
 
rais hana point yoyote, unless hizi zisifiwe taarifa za kweli. na kusema kwamba kwa nini TB Joshua hakuona kama jengo lake litaanguka na kuua watu hayo ni mambo ya Mungu, nabii kama nabii anapokea kutoka kwa Mungu wala nabii siyo anayetoa unabii, (prophecy is generated by God not by man) nabii ni chombo kinachotumiwa na mwenye chombo ama kufunuliwa au kufichwa jambo. Nakumbuka nabii Eliya aliua manabii 400 wa uongo/wa mungu baal waliokuwa wanamtabiria mfalme Ahabu na malkia nyakati zile, lakini nabii yule yule wa kweli alitishwa na mwanamke tu (malkia Yezebel) ya kuwa miungu wa yule mama wamtende nabii kama alivyowatenda wale manabii 400 wa uongo. Na Eliya alivunjika moyo na akakimbia kabisa na kuona kuwa Mungu amemwacha, lakini hapo nyuma manabii wengi tu wa Mungu walikuwa wamechinjwa na huyo mama, je wao hawakuona hayo................???????????? wengine walienda kujificha mapangoni ili wasiuawe na yule mama, je iliwaondolea wao kuwa manabii wa Mungu........?????????
Mungu ndiye ana hukumu ya kweli, na kama ametabiriwa hivyo ni bora kunyenyekea na kumwuliza Mungu rehema badala ya kutunishiana misuli kwenye media na kuchekelea ilihali mambo haya ya kutabiriwa yamewagharimu wengi tu kwa kupuuza wanapopelekewa unabii...........................
Unafikir kulkua kuna haja ya kutabir vifo vya watu? Na lengo kubwa ni nini?
 
mkuu unamfaham maana ya NABII, na unajua sifa za nabii? unajua kwa nn manabii walikuwepo duniani?

sijajua uelewa wako umeegemea upande upi...............ila ninachofahamu mimi ni kwamba nabii anapokea ujumbe na kuutoa kama alivyopokea kutoka kwa Mungu na jambo hilo ni lazima litokee, na wakati mwingine linaweza lisitokee kulingana na mhusika anavyonyenyekea, rejea habari ya Mfalme Hezekia alipotabiriwa na nabii Isaya kwamba atakufa(Isaya 38:1-). Kwa habari ya sifa, na kama TB Joshua ni nabii wa kweli au wa uongo mie hilo halinihusu, linamhusu Mungu na mhusika mwenyewe(TB Joshua) ila mie napenda kufuatilia iwapo lililotabiriwa litatimia au la.
Nilieleza kutokana na uelewa wangu kutoka kwa manabii waliotangulia, dhihaka za kama wewe ni nabii jiponye nafsi yako zimekuwepo sana hata Yesu aliambiwa haya haya. Kwamba anapwaya kwenye mizani yako huo unabaki kuwa msimamo wako lakini katika hali halisi mie sijaona hata basi angalau nabii wa kweli anayeweza kututabiria au akasimama kwa ujasiri na kutabiri jambo la kitaifa/kimataifa kama huyu usiyempenda wewe.....................................NARUDIA TENA, KWAMBA YEYE NI WA KWELI AU WA UONGO MIMI HILO HALINIHUSU, LITAJULIKANA SIKU ILE BWANA MWENYE NYUMBA ATAKAPORUDI................................
 
Unafikir kulkua kuna haja ya kutabir vifo vya watu? Na lengo kubwa ni nini?

TAMBUA: kutabiri kifo siyo nabii anayepanga, nimesema (prophecy is generated by God not man) kama yeye amepokea hivyo kutoka kwa Mungu hakuwa na namna anasema kama alivyopokea. kuna unabii kama huo kwenye Isaya 38:1- kwa mfalme Hezekia. Yeye alipoambiwa atakufa wala hataishi hakukimbilia kwenye media...........................alimgeukia Mungu akanyenyekea na Mungu akaghairi kwa kumwongezea miaka 15 ya kuishi.
Kutabiriwa kifo inawezekana kweli kwamba yamkini rais anakabiliwa na hatari ya kifo karibuni, lakini anapotolewa unabii ni kwa ajili ya yeye kutengeneza mambo yake na Mungu kwamba Mungu anaweza kumrehemu akaishi au la jibu liko na Mungu siyo nabii.
 
duuh, bado sijaskia kauli yeyote toka babu yetu kichaa Mugabe hapo c unajua tena ye ndo rais anaependa happybirthday kuliko wote, sasa hii taarifa cjui kaipokeaje
 
Mungu muweza naomba nifikishe tar 1 Apr nione kitakachotokea kati ya Nabii wako na Raisi wa nchi

Siyo wewe tu mkuu hata Mimi pia, Nina hamu Sana nijue, Nani zaidi Kati Mungu na Rais wa nchi ,maana unabii huwa ni Wa Mungu na siyo binadamu, Kwa hiyo TB Joshua kaambiwa na Mungu kupitia maono, halafu Rais badala ya kuomba rehema za Mungu, Anamwijia juu mjumbe Wa Mungu.
ngoja tuone hii movie itakavyokuwa.
 
Back
Top Bottom