Rais Samia yuko wapi?

Acheni ujinga wenu na utoto wa kijinga.mnataka aonekane muda wote hadharani kwani yeye amekuwa jua? unaposema habari za kuhudhuria kikao cha kamati kuu, kwani ni lazima aongoze vikao vyote yeye. Nini maana ya uwepo wa makamu zake wenyeviti. Acheni ulimbukeni na ushamba wenu. Kama huna cha kuandika si bora ukae kimya tu.
 
Sihitaji nahitaji nafasi itangazwe tushindane kwa sera na mipango, teua hamisha tengua fukuza unajua gharama zake? pia mfumo mbovu kama huu hatuwezi kupata watu wazuri, kila mwenye masters sahivi anapambana kuwa chawa apate uteuzi. Hovyo kabisa
Ushindane na nani na akili yako ndogo hiyo isiyo na uwezo wa kuchambua na kulewa vitu zaidi ya kukurupuka tu na mihemuko
 
Acheni ujinga wenu na utoto wa kijinga.mnataka aonekane muda wote hadharani kwani yeye amekuwa jua? unaposema habari za kuhudhuria kikao cha kamati kuu, kwani ni lazima aongoze vikao vyote yeye. Nini maana ya uwepo wa makamu zake wenyeviti. Acheni ulimbukeni na ushamba wenu. Kama huna cha kuandika si bora ukae kimya tu.
Punguza uchawa pimbi wewe.
 
Nilijua kiranja wa machawa lazima aibuke.
 
Back
Top Bottom