Mara ya mwisho gawio la TPA kipindi cha Magufuli lilikuwa tsh 400 billion (pungufu ya tsh 250 billion) halafu anataka kujisifia.

Tena kipindi cha Magufuli hiyo hela imepatikana huku kina cha bandari kikiwa kinaongezwa na kupunguza idadi ya magati yanayotumika.

Halafu DP World wameanza kazi rasmi lini? Hadi hiyo faida ionekane, hata hizo infrastructure za kuongeza ufanisi awajaanza kujenga kama walivyoeleza kwenye phase 1 ya mkataba wao.

Wanajitekenya tu na kucheka wenyewe
 
..kwa hiyo hilo gawio tumepewa na DP world?

..bila DP world tulikuwa hatuna uwezo wa kupata gawio hilo?
Thats truth.Input ambazo ni cargo handling machineries zilikuwa hakuna au mbovu,au kidogo au substandard au human resources kuna utata.
Ukichelewesha meli kuipakuwa na kuipakia kuna penalty kubwa ndio unakuta gharama zinasukumiwa importer na expoter.
Huyu Mama yetu mtamuelewa kwa hilo mpe mwaka mmoja.
Ila angalizo mapato yatokanayo haswa na wawekezaji wa bandari yawe yanatangazwq na kupelekwa hazina
 
Tunategemea hayo magawio yasaidie kuondoa tozo na mlundikano wa kodi kwa wananchi .
 
Mara ya mwisho gawio la TPA kipindi cha Magufuli lilikuwa tsh 400 billion (pungufu ya tsh 250 billion) halafu anataka kujisifia.

Tena kipindi cha Magufuli hiyo hela imepatikana huku kina cha bandari kikiwa kinaongezwa na kupunguza idadi ya magati yanayotumika.

Halafu DP World wameanza kazi rasmi lini? Hadi hiyo faida ionekane, hata hizo infrastructure za kuongeza ufanisi awajaanza kujenga kama walivyoeleza kwenye phase 1 ya mkataba wao.

Wanajitekenya tu na kucheka wenyewe
Kwahiyo ulikuwa unaamini data za Magufuli? Nimecheka kwa nguvu. Huyo aliyekuwa anapokea magawio kwa makampuni yaliyokuwa yanajiendesha kwa hasara?!
 
Back
Top Bottom