ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,749
- 72,172
- Thread starter
- #81
Kazi za Watanzania harafu WaKenya ndio wawe wengi tena? 😂😂Hivyo vituo naamini wakenya ndiyo watakuwa wengi kuliko watanzania Kwa sababu watanzania wengi kiingereza ni zero.Mwalimu mzuri ni yule anayejua lugha za kimataifa zaidi ya Moja na kiingereza ni namba moja.sasa wewe mtanzania unajua kiswahili halafu kiingereza ni sifuri ulamfundishaje machina,mwingereza,mjapani Kwa kutumia kiswahili peke yake?Ili mtu aelewe unachomfundisha lazima utumie na lugha mojawapo inayoeleweka Kwa wengi kama kiingereza.