Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 2,862
- 5,011
Intention yangu nikukueleza kuwa anayekuja kwa miezi michache atajifunza kidogo tu hawezi kujifunza kila kitu, itategemea na lengo lake, lakini kulingana na utamaduni wa mswahili Kuna vitu vya Muhimu vya kumfundisha kwanza Kama Salam , kuomba samahn n.k ,, haikuhitaji wewe mwalimu kujua lugha ya mwanafunzi Bali kazi yako nikuhakikisha anaijua lugha yako. Katika viwango mbalimbaliMkuu nini faida ya lugha ? Binafsi najua faida ya lugha ni communication..., sasa unaponiambia lugha haifundishwi kwa miezi michache wakati huenda mtu amekuja unampa skills hata za kujipatia mahitaji au kuomba maji ya kunywa alafu uniambie wewe usiefahamu jinsi yoyote ya kuwasiliana nae ndio utakuwa mwalimu bora kuliko yule ambaye wana means of communication kwakweli nashindwa kukuelewa... narudia tena mwalimu anahitaji all the ammunition he/she can use kufanya kazi yake iwe rahisi