Rais Samia: Tanzania kufungua Vituo 100 Vya Kufundisha Kiswahili Duniani, Vijana Changamkieni Fursa

Intention yangu nikukueleza kuwa anayekuja kwa miezi michache atajifunza kidogo tu hawezi kujifunza kila kitu, itategemea na lengo lake, lakini kulingana na utamaduni wa mswahili Kuna vitu vya Muhimu vya kumfundisha kwanza Kama Salam , kuomba samahn n.k ,, haikuhitaji wewe mwalimu kujua lugha ya mwanafunzi Bali kazi yako nikuhakikisha anaijua lugha yako. Katika viwango mbalimbali
 
Mkuu nimekuwa nikitwanga kiswahili maisha yangu yote ila pamoja na hayo siwezi kusema kwamba nimejifunza kila kitu..., ila sababu ninachojua ninaweza kuongea na walionizunguka na hata kujibishana na wewe hapa basi hio nasema inatosha..., na kama kuna mtu mwenye uwezo wa kunifundisha lugha yoyote kwa muda mfupi ili kuweza kuwasiliana nitamchukua huyo kuliko yule ambaye ananifundisha kila kitu ila inachukua muda sababu hajui lugha ninayoijua kwa wakati husika (yaani badala ya kunifundisha tunafundishana)
 
Hizo tools unazotaja nimuhimu Sana . Kila level tulisoma kwa miezi mitatu , huwa Kuna idadi yabmisamiati unatakiwa kuikariri kichwani kwa kila level ,, hii Ina maana kuwa ukiniuliza kitu nje tulichojifunza Darasani sitaweza kukujibu. Ndio maana nimesema kuijua lugha inachukua muda mrefu Sana Tena sidhani Kama unaweza kuifahamu lugha vizuri kwa kujifunzia tu darasani ,ili uelewe inatakiwa kwenda katika nchi husika ukae hata miaka 10 hapo ukitoka unaweza hata kujua kumgombez mtu kwa Kichina au kupiga story au kubishana kwa Kichina lakini hii ya kukaa darasani utajua tu kile ulichofundishwa.
 
Hivyo vituo vitageuka kuwa vijiwe vya kucheza bao.
Wanatembelea maneno ya mitaani yale ya kusema eti Kiswahili kinalipa. Subiri wakutane na uhalisis
 
Kwa sababu hujui kitu na ujinga unakusumbua.

Kwa Sasa Kwa masoko ya art ukitaka kupata kazi Nje ya Nchi soma kiswahili na English,France & Kiswahili au Chinese & Kiswahili nk
Naionea huruma sana nchi yangu, we are being ruled by brainless people. Bring the numbers, quantitatively. Kufungua shule nchi mia kwa scale gani? Short term or long term? Kwa economic scale gani? Labda hata angesema wafungue shule nyingi za lugha za kigeni Tanzania, English, French, Chinese etc kutarget visitors wa nchi yetu, maana Tanzania sioni kama tupo fluently na language yoyote ya kigeni hapa petu. Hata kiingereza na Kiswahili wengi hawaongei.
 
Unajua namna europeans walisambaza lughq yao na kuifanya kuwa main business language to date?
 
Huyu mzenj ni Mjinga Sana, unawatukana wakristo(wazungu), harafu unategemea kwenda kufungua madarasa ya kiswahili kwao! Watakutosa tu, hiyo deal Bora wampe Kenya, au Rwanda, ajiulizi kwanini deal ya kulinda Amani HAITI, alipewa M Kenya, na sio TZ,
Samia anafikri jinsi anavyoshqngiliwa na wa mama na watoto mafukara, waliopauka, wapo peku peku, ye ye akiwa juu ya V8 ya milioni 500,anafikri wazungu wanamuona hivyo hivyo, nje huko anaonekana kama kibaka tu, Panya road, small mind, can't speak good English, nk
 
Hii iendane na kukuza uchumi wa Tanzania. Kichina kinafundishika sambamba na uchumi wao. Mtu ajifunze kiswahili kwa nini wakati fursa zikiwa hakuna. Uwepo wa fursa za kupata kipato hutegemea kwa uwepo wa shughuri za kiuchumi. Vinginevyo ni kujidanganya.
 
Ni jinsi walivyopaisha uchumi wao kuanzia enzi za ukoloni
Jibi mujarabu kabisa, ukiwa uchumi imara unaweza insert matakwa yako kupitia uvhumi huo, ikiwamo lugha, tamaduni zako.
Lygha haitofika mbali kama huna influence duniani na infuence inakuja kwa fedha
 
Wewe ni mpumbavu.Wazungu ndio Wana shida na Kiswahili.

By the way agenda ya Kiswahili ni ya Bara la Africa and so Kiswahili kinatarajiwa kufundishwa Kwa Ukubwa zaidi Nchi za Africa Kwa Ajili ya kuondoa ukabila.

Mwisho ukiwa na nyumba uwe tayari kuilinda vinginevyo mkeo atabakwa mbele Yako na Watoto wako eti unaogopa kupigana.
 
Ndio ajenda kuu maana hao watatumia pesa za Kigeni nyumbani
 
Hivyo vituo vitageuka kuwa vijiwe vya kucheza bao.
Wanatembelea maneno ya mitaani yale ya kusema eti Kiswahili kinalipa. Subiri wakutane na uhalisis
Uhalisia upi ikiwa hapo Mozambique tuu wnhitajika Walimu wa Kiswahili maelfu
 
Wewe ndio brainless.Kiswahili ni Lugha adimu zaidi Kwa Africa Kwa Sasa kwa Ajili ya kuondoa ukabila na ndio Lugha inazungumzwa na watu wengi.
 
Wewe ndio brainless.Kiswahili ni Lugha adimu zaidi Kwa Africa Kwa Sasa kwa Ajili ya kuondoa ukabila na ndio Lugha inazungumzwa na watu wengi.
Kiswahili Ni lugha iliyoenea Tatizo la Kiswahili Ni lugha dhaifu kiuchumi. Yani wazungumzaji wa kiswahili Ni maskini , Kama Tanzania ingekuwa nchi tajiri kiswahili kingeenea kwa watu penda wasipende Kama tunavyolazimika kujifunza kingereza au Kichina nikwasababu lugha hizo zinatoka katika mataifa ambayo Yana nguvu kiuchumi. Hata Kiswahili kilienea zaidi wakati wa ukoloni wakati Dolla zenye Nguvu zikitumia kiswahili
 
Katika Taaluma ngumu kujifunza kwa mwanadamu Ni lugha ya kigeni lakini kwa ubongo unaropokwa mwanadamu huweza kujifunza lugha yoyote duniani na kuielewa , hata asipokuta wazungumzaji wa lugha yake,,, nikupe mfano Wamisionari wa mwanzo waliofika Africa mashariki wakianza kujifunza Kiswahili bila kutumia kingereza ,, baadaye walikuwa mahiri na wanaisimu wa lugha Kama kina Stere, Maadan, Webman nawengineo
 
Hivyo vituo naamini wakenya ndiyo watakuwa wengi kuliko watanzania Kwa sababu watanzania wengi kiingereza ni zero.Mwalimu mzuri ni yule anayejua lugha za kimataifa zaidi ya Moja na kiingereza ni namba moja.sasa wewe mtanzania unajua kiswahili halafu kiingereza ni sifuri utamfundishaje mchina,mwingereza,mjapani Kwa kutumia kiswahili peke yake?Ili mtu aelewe unachomfundisha lazima utumie na lugha mojawapo inayoeleweka Kwa wengi kama kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…