Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,225
Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye.

Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza.......

1. Mbadili upesi sana Rais wako wa Mambo ya Ndani Masauni kwani hana anachofanya japo Unampenda

2. Mfute Kazi upesi Ndugu yangu kabisa Mzanaki IGP Wambura kwani Polisi imemshinda teua Mtu sahihi

3. Unda Kikosi Kazi chako cha Uchunguzi waichunguze TISS kwani kunaonekana kwa sasa huko kuna tatizo

4. Acha kupokea Ushauri wowote juu ya Watesi wa Utawala wako kuwa wanyamazinywe kwa kulala mazima

5. Kuwa makini sana na Kitengo cha Operation ndani ya TISS kwani huenda kikawa na Njama ya Kukuchafua

6. Pokea sana Ushauri wa CDF Gen Mkunda na siyo wa DGIS au wa Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura

7. Nchi haiko salama vile kama ambavyo unadanganywa hivyo simama sasa kama Amiri Jeshi Mkuu

Nikutakie tu Majukumu yako mema, ila ninakuomba yazingatie Kiumakini haya mambo Saba (7)niliyokuandikia hapa.
 
7. Nchi haiko salama vile kama ambavyo unadanganywa hivyo simama sasa kama Amiri Jeshi Mkuu
FB_IMG_1724330690583.jpg
Kwan mama kizimkazi hayupo Kwenye hii nchi mpk asijue km nchi haipo Tena salama mkuu...

Mama anatuangusha na kufanya tuone wanawake hawafai kupewa uongozi mkubwa km urais maana anashindwa chukua maamuzi sahh Kwa wkt sahh...

Hatupo salama km taifaa
 
Back
Top Bottom