The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,074
- 64,985
Vipi kama ukitangulia wewe kufa kabla ya huyo mtu? Au wewe utaishi milele?Siku mtu akifa nafanya sherehe
Vipi kama ukitangulia wewe kufa kabla ya huyo mtu? Au wewe utaishi milele?Siku mtu akifa nafanya sherehe
Kazi kwisha iyo wamasai wanafanya kazi bureNgorongoro imeisha
Wanaharakati koko wataiunganisha safari hii na huu uzushi wao unaoendelea sasa hivi. Ila mwisho wa siku aibu itakuwa yao tu. Lets wait.
We jamaa bila shaka unatokea Buza kwa LulengeHii uswahilini tunaita "shuzi limepata mjambaji"
Au kala miguu ya kukuKwetu kiguu na njia hua tunasema kalmbwa miguu na dog
Huna lolote,hazururi bali anaenda kwenye ziara rasmi na atakuja na mafanikio teleAnazurura mnoo huyo bibi
Hivi unajua Mungu akilinda rasilimali zetu huwa anafanyaje? Subiri aingilie kati uoneMaskini wanyama pori wetu.
Mungu tunakuomba ulinde Rasilimali zetu.
Wewe unaedanga hujioniAnazurura mnoo huyo bibi
Hivi safari hizo za kualikwa nani analipia garama?Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.