Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,545
- 1,929
Hebu leta rejea ya katiba kuthibitisha hoja.Inategemea unaongelea nchi gani. Kama unaongelea Tanganyika yenye jina ubatizo la Tanzania upo sahihi. Lakini kama unaongelea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi Rais wa Zanzibar mkubwa maana ile ni nchi kamili iliyotetea uhai wake ndani ya muungano tofauti na Tanganyika iliyolalaa fofofo na kuporwa mamlaka yake. Kifalsafa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Nchi ya Tanganyika.
Hii nchi ngumu sana! Tuendelee kufurahia maisha yetu.
Vipi anapokuja huku Bara kuhudhuria vikao vy Baraza la MAWAZIRI anakuwa wapi?? Tanganyika au Tanzania? na kwanini anakuwa na hadhi ya Waziri kwenye baraza??
Nyie tulieni tuwatawale, mtaendelea sana kuagiza nyanya chungu,karoti,bamia,viazi mviringo Toka bara, viazi mbatata,.
Tukifunga mtaanza kula UROJO..🤣😅
Tulixa mshono, yaani Wallace KARIA wa TFF NI MKUBWA SANA KULIKO Hussein!!