Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,805
Si umeona eenhh??!!.Tukisema Wanawake bado hamjafikia kushika nyadhifa za juu ktk nchi muwe mnakubali.
Kwani wanaume huwa hawakosei?
Tangu Uhuru Viongozi walikuwa wanaume na ndio wametufikisha hapa tulipo ambapo maadui bado ni walewale ujinga, maradhi na umaskini.
Hospitali dawa hakuna, Maji hakuna, barabara hakuna, Shule hazitoshi, zahanati hakuna, vituo vya polisi hadi Wilayani n.k
Jadili kwa hoja na siyo jinsia yake.
Mkosoe kama mtu na siyo kama mwanamke.
Wanaume Ndiyo walotufikisha hapa mpaka mtu anasema yamkini tuliwahi kudai uhuru tulipaswa kuvuta subira tujipange kwanza.