Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,850
Kwa CCM hii hata mtawala akiwa Imam au malaika, kwao Reform & Rebuild ni theories tuHujaielewa dhanna ya Reform and Rebuild.
Kwa CCM hii hata mtawala akiwa Imam au malaika, kwao Reform & Rebuild ni theories tuHujaielewa dhanna ya Reform and Rebuild.
Bora upigaji Mpya wa mara Moja kuliko upigaji wa matrafiki na usumbufu wao barabarani wanakera sana hao na ajali Wameshindwa kudhibitiUpigaji mpya
Camera za barabarani bila notification ni maumivu makubwa sana, kuna siku utakamatwa na gari lako unakuta una deni la M5 bila wwe kujua,kumbe camera za siri zishafanya yao!! Nashauri hata kwenye parking fees waweke notification pia, maana kuna jamas kakuta anadaiwa pesa ya parking elfu 70 na hakumbuki alipaki wapi na wapi hadi ikafika hiyo amount!!Raisi kaongea leo na Polisi na kuwaambia Camera za barabarani zinakuja. Mimi nazijua hizi Camera vizuri na nilifanikiwa kuishi Houston, Texas wakati zikiwepo. Haya ni mambo ya kuangalia na serikali iwe muhimu
1. Angalieni sana faini na mfumo wake. Mkiweka faini kubwa mtaongeza malalamiko sana kwa wananchi wakati hakuna mifumo mingi ya barabarani.
2. Watanzania wengi waendesha magari na wananchi hawaheshimu sheria hivyo toeni elimu.
3. Serikali muwe makini na mkataba na kampuni. Kuna kampuni zinafunga camera na kutaka asilimia fualani kwenye malipo muwe makini na hilo. Ni bora muweke wenyewe badala ya kutoa 30% ya mapato kwa kampuni! Hizi kampuni za Camera zinajua sana kuhonga. Moja ya kampuni kubwa ina makao makuu San Antonio, Texas ilikuwa inahonga hadi hapa USA.
Lakini kitu kingine huu mfumo ili ufanye kazi ni lazima sheria zirekebishwe mfano mtu asiko lipa faini inakuwaje? Wakati sheria zinatungwa hizi teknologia walikuwa hawazijui.
Huyo kamanda anayepigiwa simu naye ana share zake kwa hao polisi wala rushwa. Ngoma bado ngumu aisee.Hizo kamera si zitasimamiwa na watu au zitajiendesha zenyewe? Polisi watazichezea tu
Ni vizuri kila basi iwekwe namba ya simu ya kamanda. Abiria akihisi kuna rushwa anapiga simu kwa kamanda nakala kwa Takukuru