spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,392
- 1,901
Kila siku ya juma, mara tano kwa siku. What are implying?Wote wanaoapishwa Leo wanasali juma ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku ya juma, mara tano kwa siku. What are implying?Wote wanaoapishwa Leo wanasali juma ngapi
Nafikiri tu Balozi kama angewahi matibabu sahihi nina uhakika leo angekuwepo maskini... jamaa kawakaanga wenzake eti uji wa malimao na nyungu ni dawa ya korona - weeeee !!Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Tulishasema ukipiga hesabu sawasawa Dodoma ni gharama nyingine, tena kubwa mno.Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Aliwadanganya hadi Watu wa kawaida kuwa Barakoa zimetiwa Sumu na Mabeberu Watu wakaamini na kupelekea kuangamiza Wazee.Nafikiri tu Balozi kama angewahi matibabu sahihi nina uhakika leo angekuwepo maskini... jamaa kawakaanga wenzake eti uji wa malimao na nyungu ni dawa ya korona - weeeee !!
ha ha ha, jamaa alikuwa na logic za ajabu, kama wazungu wangetaka kutuangamiza sisi weusi why wasubiri hadi kutumia chanjo ya korona au barakoa wakati watoto wote wanachanja chanjo karibia saba kwa nini wasitumie hizo kuangamiza kizazi cha watu weusi, kama wana lengo hilo.Aliwadanganya hadi Watu wa kawaida kuwa Barakoa zimetiwa Sumu na Mabeberu Watu wakaamini na kupelekea kuangamiza Wazee.
Yule Jamaa alikuwa ni Mshamba sana, huwezi kujifungia Ikulu unakesha kwenye YouTube ukiangalia Conspiracy theories sites, halafu unataka kuliendesha taifa kwa utashi wako.ha ha ha, jamaa alikuwa na logic za ajabu, kama wazungu wangetaka kutuangamiza sisi weusi why wasubiri hadi kutumia chanjo ya korona au barakoa wakati watoto wote wanachanja chanjo karibia saba kwa nini wasitumie hizo kuangamiza kizazi cha watu weusi, kama wana lengo hilo.
Huyu mama ameanza kunichosha mapema mno yaani yeye ni kuzurura tu,mara hatujakaa sawa anatuletea mkeka wa hovyo wa ma DCKwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Hivi kuna sehemu amemtaja jpm au na ww unademka demka.Yeye kasema ibilisi.Ujinga ujinga tu huwezi kucoment bila kumtaja JPM
Anataka mkopo wa WHO chezea umasikini, uganda wanazika majeneza empty watu weusi sijui tatizo nini?Lakini tunaelekea kwenye full Barakoa
Sio hawazitaki Watu waliambiwa kuwa zimetiwa Sumu na Mabeberu sasa itabidi zitungiwe Sheria ndogo kama Kenya.
Tundu Lissu aliwahi kusema Tanzania sio Kisiwa.Rejea msemo huu...unaweza lazimisha mpeleka ng'ombe mtoni ila kunywa maji inabaki kuwa hiari ya ng'ombe.
Alijifanya mwamba eti kuivimbia Covid19, kilichotokea kibetri kikapigwa mweleka,na covid19 ikasepa nae mazimaJPM akafufuka Leo, akaona hiyo picha ya aliyevaa barakoa atadondoka chini.
Wa milembe dikteta kichaa kashatanguliaTinasubiri yule wa mirembe atangulie kwanza
Wanasali kwenye masaburi yako ,naona mmekosa hoja mmebakia kuongea utumbo tuWote wanaoapishwa Leo wanasali juma ngapi
Mpango tulionao nikupeleka mswada bungeni na rais najua atasaini kwamba machinga hawamishwe na kwenda kwenye maeneo ambayo serikali itawahusisha kama wadau wayatambue au watoe mchangowao kuhusu maeneo ,nasheria hiyo itaaza kutumika miaka mitano ijayo.siosasaWamachinga wanauza hatima yao na vitambulisho vyao vipi?
😳Mpango tulionao nikupeleka mswada bungeni na rais najua atasaini kwamba machinga hawamishwe na kwenda kwenye maeneo ambayo serikali itawahusisha kama wadau wayatambue au watoe mchangowao kuhusu maeneo ,nasheria hiyo itaaza kutumika miaka mitano ijayo.siosasa
Ndio ,mana unataja tu machinga machinga ukitamka umetamka watu wafuatao ,mtoto shule(nauli kilasiku ama Ada),kupendeza mkewe,wakwe ,ujenzi nyumba ,siasa itoke ili tuwape mkakati utakaochukua miaka mitano ili kuwaondoa bila shuruti maeneo walipo