Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

Nyie ni wafanyabiashara, nishawahi kuwa winga baadae dalali wa simu na magari, ni mfanyabiashara.

Alafu kumjibu mtoa mada. Hiyo tuzo iliitwa Champion of comedy unaweza usijue kwa kiswahili, kwa muktadha wake tunamuita mlezi au mwanaharakati wa ucheshu. Amechampion amewezesha tuzo hizo kuwepo. Ila si ulivyosema umeamua kuwa sarcast.
Champion of Comedy. Ni Bingwa wa Comedy. Period. Haina maana nyingine.
 
Champion of Comedy. Ni Bingwa wa Comedy. Period. Haina maana nyingine.
bingwa wa comedy unakua umepatia saaaana, kuliko ulivyosema kwenye thread, muktadha uliokuwepo, unakua umepatia, vizuri sana kuelewa., haina maana nyingine. Period
 
Mimi namuunga mkono RAIS Samia kwa Moyo wangu wote na kwa upendo woote. Nipo tayari kuwa Ngao ya Rais Samia katika Mapambano ya Aina yoyote ile.
Wewe hata ukisikia tyre ya gari ikipasuka unajiharishia mavi debe , wewe ni chawa tu unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa siku moja.
 
Back
Top Bottom