Sema sisu bado tunamentality ya kimaskini.Yaani nchi kama Tz kununua ndege ya mizigo ndo taifa zima linahamia uwanjani kweli..hapo tumenunua tu..siku tukitengeneza ya kwetu...
Yaani na utajiri wote huu still kununua ndege inaonekana kama jambo la ajabu na la kitaifa...
Mh Rais hizi mambo asiwe anaenda, awe anapokea hata waziri tu..au tunapiga kimya kimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.