Rais Samia anajua mbinu za NGOs itakuwa ngumu kumchafua kimataifa

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,971
29,546
Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana.

#CNNachauongo
 
Ebu ondoa maandishi takataka hapa JF

Rais tumemtuma kama watanzania afikirie nje ya box ili tushindane na Mataifa Duniani

Inayoongozwa ni nchi na sio chadema, Rais anaongoza nchi

Hatukumtuma akimbizane na Mbowe au Chadema, Mbowe hata sisi tuna uwezo wa kumkamata, Afanye kazi ya upekee

Mama atueleze kama Taifa lini nchi yetu itaanza kutengeneza Rocket, Balistic Missile, Ndege zisizokuwa na rubani. Haya ndio tunasubiri

Uchumi wa Tanzania umeporomoka, Afanye kazi kama akina Ben Mkapa na Jakaya, Watu wanahitaji maisha bora zaidi kuliko ya enzi za akina Jakaya na Ben Mkapa

Watu wanahitaji kodi rafiki na kufikiria nje ya box, Tunahitaji Mama aeleze lini Tanzania tutaenda anga za mbali mfano Sayari ya Mars au Jupiteter

Mama atueleze ni lini wanafunzi wetu wa vyuo vikuu vya afya watakuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo za Polio, Corona na utindio wa akili

Mama atueleze ni lini pesa yetu Itakuwa na thamani zaidi ya pesa ya Kenya

Tunahitaji Maendeleo ya science na Teknolojia, Hatujamtuma kufukuzana na Raia wake kwa kutumia polisi, Hayo ya kufukuzana walishayafanya akina Chief Mkwawa na Chief Songea enzi za ujima na hatujastarabika
 
Naunga hoja
 
Mnapokubali na kuhabarisha watu kuwa nchi ina ugaidi pasi kufikiria adhari zake kwa wawekezaji. Matokeo mtayaona.
Gaidi lenyewe limedakwa, hivyo haiwezi kutishia watu wa nje na kwa kuwa lilikua linauwa watu wa ndani na halina shida na watu wa nje kwa kuwa linawategemea walisaidie.
Usihofu na wageni na wawekezaji kazi itaendea.
 
Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana.

#CNNachauongo
Na kweli CHADEMA wametengeneza tukio la kukamatwa kwa Mbowe!

NGOs hazitamsaidia kwa wababe wa dunia maana wao ndo wamiliki,yaani mmejipiga nyundo ya kichwa na mtaimba kichina soon
 
Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana.

#CNNachauongo
Modealer unganisheni thread na ile nyingine
 
Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana.

#CNNachauongo
Alishachafuka kinyesi mwili mzima kitambo tu. Na una roho mbaya kama Sabaya.
 
Kwahiyo anaongoza Taifa kama vile NGO. Kweli tu naendelea kufeli zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom