Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,703
- 14,915
Kimya kimya tu lakini mambo yanaenda cha kushangaza mtu yupo manzese kilobya mchele 4000 anakwambia Tanzania kilo ya mchele sasa 4000 oh maisha magumu sijui nnAwamu ya 6 akili kubwa nguvu kidogo, hakuna mihemko wala kupaniki.
Kama kawaida yake alivyo jisemea yeye mwenyewe huwa anafoka kwa peni........