Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania

Lucas hivi unafananaje? Hivi Mungu na binadam Nani anamuitaji mwingine zaidi kama unasoma biblia vizuri?.
Una tabia za kike...warfogh
,
 
Attachments

  • JamiiForums-647972561~2.jpg
    JamiiForums-647972561~2.jpg
    23.8 KB · Views: 1
Nashauri tuwe makini na kiasi na maneno na kauli zetu, kauli nyingine huumba!.
Sadaka ni kitu kinachotolewa kwa Mungu tuu pekee na sio kwa binadamu!, na ukiishamtolea Mungu sadaka, Mungu huipokea sadaka yake.
P
Ushauri mzuri. Hata yule alilitumia mara kadhaa hilo neno la kujitoa sadaka. Na akawa sadaka.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua kero na changamoto mbalimbali,namna anavyotekeleza miradi ya maendeleo,namna anavyohangaika huku na kule kuwasikiliza watanzania na kuwapatia majawabu.

Unaona wazi kabisa namna Mama huyu mwenye moyo wa huruma na upendo alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.inafika wakati unamuona sana huruma na unajiuliza anakaa saa ngapi na familia yake .maana muda wote na Mwingi unamuona yupo kazini akichapa kazi bila kuonyesha uchovu wala kuchoka.Ikumbukwe naye ni Mwanadamu mwenye moyo wa nyama na mwili kama binadamu wengine.

Kwa hakika itatuchukua miaka mingi sana kumpata Mama Samia Mwingine katika Taifa letu. Mwenye Moyo wa huruma ,upendo, uzalendo, uchapakazi, unyenyekevu na dhamira njema kwa Taifa letu.Najuwa wenye upofu wa akili na macho wanaweza wasielewe vyema maneno haya kwa sasa.

Najuwa wenye chuki binafsi na Mama wanaweza kuwa gizani bado na kupofushwa na mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini,ukanda na jinsia na wengine bila hata sababu ya msingi zaidi ya kufuata Mkumbo tu .

Lakini ipo siku baada ya kumaliza muhula wake wa pili 2030 tutamkumbuka sana huyu Mama,kuna watu watabubujikwa na machozi ya kujutia chuki zao kwa Mama huyu asiye na makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau wala ubaguzi.Tutamkumbuka sana huyu Mama mwenye hofu ya Mungu ndani yakeView attachment 3131964

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe mshamba bado unabwabwaja tu hata ka ukurugenzi hupati?? ok Huyu mama ameitoa Tanganyika sadaka kwa waarabu ! siyo yeye katutoa sadaka huyu!! Elewa hivyo uthibitisho kibao leta fyoko upewe!
 
Ushauri mzuri. Hata yule alilitumia mara kadhaa hilo neno la kujitoa sadaka. Na akawa sadaka.
It's true kuna watu wanajikomba kwa kusifu mpaka kupitiliza, wanapomtoa binadamu sadaka, na kumkabidhi Mungu sadaka yake, hawajui kuwa sadaka ni kwa Mungu tuu, hivyo Mungu akiitwaa sadaka yake, watakuja humu wamebubujikwa machozi kumlilia Mungu, kwanini ameitwaa sadaka yake.

Ukisifu na kupitiliza unakuwa ni kama unamuabudia! Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
P
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua kero na changamoto mbalimbali,namna anavyotekeleza miradi ya maendeleo,namna anavyohangaika huku na kule kuwasikiliza watanzania na kuwapatia majawabu.

Unaona wazi kabisa namna Mama huyu mwenye moyo wa huruma na upendo alivyojitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.inafika wakati unamuona sana huruma na unajiuliza anakaa saa ngapi na familia yake .maana muda wote na Mwingi unamuona yupo kazini akichapa kazi bila kuonyesha uchovu wala kuchoka.Ikumbukwe naye ni Mwanadamu mwenye moyo wa nyama na mwili kama binadamu wengine.

Kwa hakika itatuchukua miaka mingi sana kumpata Mama Samia Mwingine katika Taifa letu. Mwenye Moyo wa huruma ,upendo, uzalendo, uchapakazi, unyenyekevu na dhamira njema kwa Taifa letu.Najuwa wenye upofu wa akili na macho wanaweza wasielewe vyema maneno haya kwa sasa.

Najuwa wenye chuki binafsi na Mama wanaweza kuwa gizani bado na kupofushwa na mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya ukabila ,Udini,ukanda na jinsia na wengine bila hata sababu ya msingi zaidi ya kufuata Mkumbo tu .

Lakini ipo siku baada ya kumaliza muhula wake wa pili 2030 tutamkumbuka sana huyu Mama,kuna watu watabubujikwa na machozi ya kujutia chuki zao kwa Mama huyu asiye na makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau wala ubaguzi.Tutamkumbuka sana huyu Mama mwenye hofu ya Mungu ndani yakeView attachment 3131964

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kosa ni la Baba yako aliyekojoa ndani ukazaliwa wewe,angejua kama atazaa kocho kama wewe hakika angekojoa nje
 
Back
Top Bottom